Mchumba bado anavaa pete ya ndoa imekaaje hii?

Mchumba bado anavaa pete ya ndoa imekaaje hii?

Daisy Llilies

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,017
Reaction score
2,163
Mchumba alishaoa ndoa ya Roma na kupata watoto. Wameachana na mke na watoto ni wakubwa. Changamoto iliyopo

1. Ndoa ya Roma haina talaka nitaweza kuolewa na huyu mwanaume?

2. Bado anazaa pete ya ndoa hii imekaaje?
.
 
Kumbuka haya
1. Ndoa iliyofungwa RC, cheti kinasema wazi kwamba mume ni mmoja na mke ni mmoja
2. Cheti cha ndoa ni cha serikali.
3. Kama ndoa haikuvunjwa popote, maana yake huyu MTU hawezi funga ndoa nyingine, maana ni ya mime na mke mmoja, LAZIMA MWENZIE ATAKUJA KUPINGA
4. Uwe tayari kuishi bila ndoa
 
Back
Top Bottom