Mchaga kamwe haisomi namba ya Msukuma

Mchaga kamwe haisomi namba ya Msukuma

Mimi sio msukuma wala mchaga lakini kwa upande wa msukuma kinacho mponza ni ushamba tu lakin mengne yote yupo fresh. Tukija kwa akina mangi shda kibao, kwanza hawajui kupka, wapenda misifa hata pasipo, kujifanya wanajua na huku hawajui
 
Mie sio mchagga wala msukuma.....niseme wachagga hawajakaa kinyonge hata kidogo! Walianza kueleimika zamani hata sasa wanampiga fimbo msukuma, mikato ya kijanja msukuma bado saana labda sana sana wasukuma wana ule uzito wa akili yaani wazitooo hata kufanya maamuzi...msukuma kwenye kupika labda kusonga ugali mgumu wanaweza kitu ambacho binti wa kichagga hawezi😆😆
 
We ni kabila gani? Ukinidanganya nitajua tu. 😎
 
Back
Top Bottom