Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hello, Naitwa Sandra, Nipo New York, nampenda mume wangu Sana, naweza kufanya chochote ili nimridhishe na kumfurahisha.. Lakini hivi karibuni, nimetokea kumpenda binamu wa mume wangu.. Tena...
0 Reactions
4 Replies
829 Views
Wana Jukwaa mpo? Dunia inaenda kasi sana hawa viumbe aka wanawake wamekua na viburi sana. Wanawake wa sikuhizi ukiishi nae kwa kumlambalamba atakusumbua yaaani wanataka uwe unachapa vibao na fimbo...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Using a condom is a sign that you are having sex with a person you're not supposed to be having sex with
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari wakuu, natumaini siku ya leo inaenda vyema, katika mizunguko yangu ya siku ya jana nilikutana na dada mmoja hotelin katika maongezi ya hapa na pale nikamuuliza swali umeolewa au boyfriend...
4 Reactions
72 Replies
11K Views
Kuacha kunyonya sio rahisi licha ya kuwekea pilipili kwenye titi
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Natumain mpo salama, Nnamchumba wangu ambay tuna miezi mi 5 kwenye mahusiano yetu,majuz aliniacha na kusema hatak tena mahusiano, hatukua na ugomv ingaw ni mda nlishaon mapenz yamepungua toka...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Kwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo...
10 Reactions
23 Replies
2K Views
Mapenzi ni kitu cha Ajabu sana. Mapenzi yaweza kumea mahala popote bila kujali lolote. Compaund ambayo nakaa ina Nyumba 4 zote ni za kupangisha. Tumepanga watu tofauti kila mmoja na shughuli yake...
13 Reactions
83 Replies
6K Views
Wakuu siku nyingi nimekuwa nikitamani hii kitu, Siku ya Jumanne ya tar16/07/2019 ndio siku Nimechukua hatua hiyo. Tofauti na nilivyofikiria mapokezi yalikuwa mazuri na tuliandaliwa chakula pale...
18 Reactions
101 Replies
13K Views
Aisee Katika manzi nnazozi'feel ni hii mamilox inayoitwa Halima Mdee,Halima Mdee Nampenda laana,yaani hata atembee na Machalii elfu18 mimi ntakua wa elfu19 Bablae,Yaani hata azeeke ntamwekea Picha...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
habari wadau.. naona lawama nyingi kwa wanawake nowdays.. kwa ufupi tu wanaume tunapaswa tukubali ukweli maisha yamebadilika, na wanawake hawajaumbwa kuhangaika.. kwa hiyo wanahitaji security...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Binafsi nina miaka 30-34 naishi dar Elimu yangu ni shahada ya kwanza Dini ni mkiristo Ninahitaji mwanamke ambae atakuwa mke wangu wa ndoa awe mkiristo kama mimi na umri kuanzia 24-26 asiwe na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Sijui nina shida gani ila nahisi nina matatizo ya kisaikolojia.Nina tabia ambayo naiona siyo ya kawaida nikijilinganisha na vijana wa rika langu.Huwa siwezi kuwa kwenye mahusiano na Mwanamke...
3 Reactions
73 Replies
8K Views
Ingawa ni za kunadika,ila mwanamke ambae ni wife material na anayejielewa hawezi kubadika mauchafu kama haya,ni xhukizo mbele ya mume wake.
0 Reactions
58 Replies
5K Views
By MarketWatch The richer you are, apparently, the better sex you have. That's according to a recent survey of more than 600 high-net-worth individuals. And rich women, it seems, enjoy sex the...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wajomba kwa mara nyingne tena nawaomba ushaur,kuna ndoa zingne znaanzaga huku mke akiwa na mtoto tayar na ndoa zingne wanaanza wote wakiwa hawana watoto baadae wanapata lakn huwa inatokea wanandoa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Unajua kuna wanawake wengine wanakupiga mizinga ya hapa na pale sometimes inaweza kuwa kukupima ama tamaa ama kukukomoa! Unachotakiwa kufanya mwanawane siku akikupa papuchi hakikisha unaipiga hadi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Hauwezi kumpenda mtu ambae yeye mwenyewe hajipendi. 2. Mtafute MUNGU kisha tafuta mwanamke bora. Ukiwa na hayo mambo mawili, suala la hali ngumu ya uchumi binafsi (financial freedom)...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Rafiki yangu kasafiri, shemeji kanitumia text kua kuna dharula home, nimeenda, nimekuta yuko pekeake na watoto wako church yeye kadai hayuko vizuri. Chaajabu shemeji anaeleza et alikua anapata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom