princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,063
Aisee Katika manzi nnazozi'feel ni hii mamilox inayoitwa Halima Mdee,Halima Mdee Nampenda laana,yaani hata atembee na Machalii elfu18 mimi ntakua wa elfu19 Bablae,Yaani hata azeeke ntamwekea Picha ya ujanani apo fiade,,Kwanza She is so beautiful,She's so bright and kind of Contravesal politician,Napenda Ma'manzi wakorofi kama yeye alaf sauti yake iko Unique ndo mjuba naishiwa hadi Nguvu...Naombeni kama yupo umu ndichi ani'PM(Prince Mikazo)au kama kuna raia oote afanye kunisolololeshea izo ma'contacts zake tuyajenge Mapendo Catholic..Nisham'DM mala shazi kwa fasi ya Instagram lakini mamdii aliishia kunicheka na kunishangaa tu alaf namba ananiminyia kinyama yaani alaf chaliloo nabaki Kuumia tu uku niaje,,Please naombeni namba za Kitilili ake nimvutie Ng'ora mambo yawe Yeng'eng'ee.
@ChaliiYaKijengeJuu.
@ChaliiYaKijengeJuu.