Vituko vya mashemeji ni vikubwa sana

Vituko vya mashemeji ni vikubwa sana

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,559
Reaction score
3,810
Rafiki yangu kasafiri, shemeji kanitumia text kua kuna dharula home, nimeenda, nimekuta yuko pekeake na watoto wako church yeye kadai hayuko vizuri. Chaajabu shemeji anaeleza et alikua anapata shida siku nyingi ile ananipenda sana , nilishtuka sema nikaona niwe mpole, nilimkatalia kwa hoja kua haitakua rahisi ku-manage huu uhusiano wetu, maongezi yalichukua kama saa moja na nusu,

Baada ya kuona niko serious nakaza, akaanza kubadilika na kuwa mkari kama ananichukia vile.

Aliniuliza au nataka nini niamin anachosema, nilitaman nimwambie muue mumeo nione angejibu vipi , sema nikaona ni uchuro.

Nawaza kama ananitega au yuko serious, je kweli mtu waeza kua na mapenzi kwa mtu ad ukawa wateseka sana sana ukimuona ?

All in all , kutongozwa na mwanamke ni jambo linaleta ugumu sana
 
Back
Top Bottom