Turidhike na tulionao

Turidhike na tulionao

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,905
Reaction score
61,636
Kwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo ni wa kwako,kama hakufikishi kileleni huyo ni wa kwako n.k Mambo yakutafuta wasaidizi ni kuongeza garama ambazo hazina tija pamoja na migogoro isiyo ya lazima.
 
Binafsi nimekuelewa sana acha nipambane na kibamia changu
 
Kwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo ni wa kwako,kama hakufikishi kileleni huyo ni wa kwako n.k Mambo yakutafuta wasaidizi ni kuongeza garama ambazo hazina tija pamoja na migogoro isiyo ya lazima.
Acha watafute migogoro hapo visasi vikianza kila mtu anadanga huko na kuleteana maradhi
 
Kwa nyakati tulizopo,wanaume tusipende wake za watu wala wanawake wasipende waume za watu hii ni kwa afya ya kuishi miaka mingi yenye amani na furaha tele.Ridhika na uliyenaye...kama ni gogo huyo ni wa kwako,kama hakufikishi kileleni huyo ni wa kwako n.k Mambo yakutafuta wasaidizi ni kuongeza garama ambazo hazina tija pamoja na migogoro isiyo ya lazima.
Wewe huwezi ukaizidi Bible na Quran kwa makatazo, but still mizigo inapigwa
 
Sawa mkuu,wake za watu hapana aisee!ila Mademu za watu ni halali kwa matumizi ya wote

Back
Top Bottom