Ushauri wa bure kama huna hela usikomae na serious relation na wanawake, maisha yamebadilika wanawake wanahitaji security

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,520
habari wadau..

naona lawama nyingi kwa wanawake nowdays..

kwa ufupi tu wanaume tunapaswa tukubali ukweli maisha yamebadilika, na wanawake hawajaumbwa kuhangaika.. kwa hiyo wanahitaji security.. na zama hizi kila kitu ni pesa.

kama unajijua ni mwenzangu na mimi maisha hayajakaa vizuri. huna kipato cha uhakika tafuta wanawake wa kula bata tu na kila mtu abaki na moyo wake kwao...
ila sio sahihi kuwekeza moyo wote kwa mtu huyo...

mwanamke ukiwa na maisha mazuri hata ukimcheat, ukimpiga anavumilia kiurahis na ana kusamehe ili awe na wewe ila ukiwa mwenzangu na mimi unaunga unga hata uwe gentleman vipi huwa hawadumu na wewe kiurahisi. sababu wanaangalia security
 
ni ukweli mtupu, ila mapenzi hayana formula, umesikia kisa cha mfalme kukimbiwa na mkewe hivi majuzi? umesikia kua alipita na mlinzi wake?. any way vijana tutafute pesa ila tusisomeshe wachumba.
 
ushasikia stor iliyotokea juzi kat ya yule jamaa aluyemuuwa mkewe kwa kumchomo moto Kigambon?
.
vp nae yule alikuwa hana pesa mpka amani ikatoweka ukatawaa ugomvi??
 
Kila nikifikiriq dunia ina wanaume bilioni 2 na wanawake bilioni 5 naacha kuumiza kichwa juubyai halafu nwpiga mluzi mreeeeefu

Kuku wako manati ya nini
 
Kwahiyo mnatafuta hela ili mtusaliti na mtupige kwa makusudi au?
 
Poor thoughts! Wanawake wastaarabu, waaminifu wacha Mungu na wenye mapenzi wapo TATIZO lipo kwetu sisi Wanaume Umeona matako makubwa unatamani unataka serious relation au ndoa my BROTHER your in the PRISON of your MIND.

Na tuache kuwa FAKE mwanamke hajakwambia anataka pesa umeanza kuonyesha funguo za GARI la mkopo, unatoa IPHONE 8 uliyonunua kwa kuunga unga, Pumbavu wanawake wanacheza na BEAT.
 
Exactly
 
Back
Top Bottom