Hivi unaoaje mwanamke kama huyu?

Hivi unaoaje mwanamke kama huyu?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,493
Reaction score
12,461
Ingawa ni za kunadika,ila mwanamke ambae ni wife material na anayejielewa hawezi kubadika mauchafu kama haya,ni xhukizo mbele ya mume wake.
Screenshot_20190720-152458.png
Screenshot_20190720-152441.png
 
Ingawa ni za kunadika,ila mwanamke ambae ni wife material na anayejielewa hawezi kubadika mauchafu kama haya,ni xhukizo mbele ya mume wake.View attachment 1158956View attachment 1158958

Mkuu usipoteze muda na kuangaisha Bongo yako wewe usioe wa aina hiyo achana nao,

Wenzio wanaoa ndiyo tulivyotofautiana ukizielewa tofauti zetu kama watu wenye fikra tofauti mitazamo tofauti huwezi kupata tabu

Pia hiyo picha yako so far mbona ni urembo na amependeza kweli, kwa wanawake kwao urembo ni sehemu ya maisha yao Mkuu
 
Si angeacha hata kidole kimoja kwa ajili ya kutawadha...... sasa anatawazaje na hiyo mijikucha na anasafishaje papuchi akichororooo
 
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
 
Si angeacha hata kidole kimoja kwa ajili ya kutawadha...... sasa anatawazaje na hiyo mijikucha na anasafishaje papuchi akichororooo

Sasa anavyojisafisha Mkuu unataka awe anajirekodi, bilashaka atakuwa mtu mzima mwenye akili timamu

na atakuwa na njia yake ambayo anaitumia kujisafisha si kweli kwamba kwa sababu ya kuweka hizo kucha atakuwa hajisafishi
 
Mkuu usipoteze muda na kuangaisha Bongo yako wewe usioe wa aina hiyo achana nao,

Wenzio wanaoa ndiyo tulivyotofautiana ukizielewa tofauti zetu kama watu wenye fikra tofauti mitazamo tofauti huwezi kupata tabu

Pia hiyo picha yako so far mbona ni urembo na amependeza kweli, kwa wanawake kwao urembo ni sehemu ya maisha yao Mkuu
Mwambie huyo kila mtu anachaguo lake, kama anapenda msuka nywele twende kilioni aoe aachane na hao wabandika kucha
 
Back
Top Bottom