Mke kabisa

Mke kabisa

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
11,610
Reaction score
27,572
Binafsi nina miaka 30-34 naishi dar
Elimu yangu ni shahada ya kwanza
Dini ni mkiristo
Ninahitaji mwanamke ambae atakuwa mke wangu wa ndoa awe mkiristo kama mimi na umri kuanzia 24-26 asiwe na mtoto maana binafsi pia sina mtoto ajiandae kwa ndoa kabisa pale mazungumzo yetu yakiendana.asante
 
ungeenda kanisani bro wapo wengi hukosi hata mmoja naona walokole wanaoa kwa raha zao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom