Habari wana jf..
Hiv ni kweli mtu akishaoa/kuoelewa baadae wakapata mtoto then ndoa ikavunjika je ikitokea mmoja akaoa au kuokewa tena au akapata mahusiano mapya je atakuwa na mapenzi ya dhati kam...
wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.ilikua mwishon mwa mwez wa 6 nilienda kumtembelea mkubwa angu ambaye n kaka angu anaefanya kaz arusha .sasa sehem alikopanga kuna pia wadada wawili...
Habari za asubuhi wakuu.
Kwanza nianze na mtiririko wa matukio.
Asubuhi nimeenda kwenye shughuli zangu,nikawasiliana naye vizuri tukaagana kama ilivyo kawaida ya wapenzi wengi, jioni nimetoka...
Kwa miaka mitano nadhani nisha kwambia kila kitu.. Natafakari kitu kipya cha kukwambia lakini naona kama sina. Unajua nakupenda sana sana inafikia kipindi naamini kweli mapenz yanaua."I LOVE YOU...
Binafsi huwa nashangaa sana inakuwaje kuwaje mtu anaacha "vyombo" vizuri na vyenye ngozi nzuri anaenda kwa mzungu ambaye ngozi yake haina hata mvuto?
Kwa wanawake ukweli unaeleweka huwa...
Mtu asiyekuwa na mpenzi anakuwa yuko huru katika maisha yake,anakuwa amekwepa kifungo cha utumwa....anachokitafuta katika maisha ni kwa ajili ya tumbo lake tu,akipata akikosa hakuna...
Sometimes nakuwa nimechill sehemu alone napata kinywaji
Wakati huu wa kupata kinywaji pendwa/pombe napatwa na mawazo mengi sana ya namna ya kutoka kimaisha
Nikiwa nakunywa nakumbuka jinsi...
Ukiwa na mchepuko ambaye ni mke/mme wa mtu kihisia huwa inaumiza sana hasa pale yule mchepuko anapokuwa na mume/mke wake.Unahisi kama vile anakusaliti,kwa kujiuliza ninapopita mimi na yule naye...
1:Huna hadhi ya kuwa na Mimi[emoji1787]
2:Hujui mapenzi[emoji1787]
3:Nilikuwa nakuchuna/nakutumia tu[emoji1787]
4:..............
5:...............
6:.................
7...
Safari yangu ya mapenzi
Ilianza nikiwa chuo miaka ya 2003;huko sekondari sikuweza kutokana na mazingira yasiyokuwa huru.
Nilikuwa napiga pombe sana ndio ilikuwa starehe ya kwanza,
Pia nilikuwa...
Kama unapenda chini usiogope kupima;kuna rafiki yangu huwa tunashauriana katika shughuli mbalimbali...leo amenifuata,akaniambia brother najisikia mgonjwa mgonjwa nimecheki malaria maabara...
Nawasilisha kama tulivyokubaliana kwenye azimio la hivi karibuni kwamba uvunguni mwa kitanda ndo stoo. Pia sheria za kufanya usafi ni mpaka pawe na appointment, kuosha vyombo siku ya kupika n.k...
Hili nimeliona katika jamii, kuna watoto ambao hawachapwi kabisa kutokana na makosa yao na wazazi wao zaidi zaidi wanakanywa lkn hawachapwi hao watoto, kuna nyingine ile mtoto anachapwa huku...
Kaka anakutana na mdada anaemvutia, kaka anaomba namba, anapewa, mkaka na mdada wana-chat vizuri, baada ya siku 2 au wiki 1 mkaka anaombwa hela ya saluni au vocha au hela ingine kuanzia tsh...
Mwanawane huwa inachukua muda gani kuomba papuchi pindi mwanamke akishakubali?
Mimi huwa sicheleweshi kabla hajakubali vizuri tayari nishapita nae kama upepo,labda asikubali kuja kunitembelea
Unapokutana na kundi la wanawake wa aina hii, mwanaume mwenzangu nakushauri pita kushoto
Sipendi mwanamke wa kumtegemea mwanaume
Mwanamke ambae kuelewa ndo shuluhisho la maisha yake.
Sipendi...
Mwenzenu kaolewana King Bae Wake.
Zari Hassan and King Bae held their private wedding like she promised and the only thing that has been seen since then is Zari the bride who was clad in a top...