Kama unapenda chini usiogope kupima

Kama unapenda chini usiogope kupima

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,783
Reaction score
61,446
Kama unapenda chini usiogope kupima;kuna rafiki yangu huwa tunashauriana katika shughuli mbalimbali...leo amenifuata,akaniambia brother najisikia mgonjwa mgonjwa nimecheki malaria maabara nikaonekana sina...sijui nitakuwa naumwa nini.Nikamshauri,kaangalie UTI,typhoid n.k Jamaa hakwenda,namtafuta baadaye kumuulizia umeenda kucheki.....akasema nimeamua kunywa maji tu nitapona.
 
Akiwa amelala. Mvizie uchukue damu iende ikafanyiwe vipimo.

Kama kweli unampenda,utafanya hivo
 
Haya mambo tumuombe Mungu ayaepushe mbali
Maji nayo ni tiba!
mwenyewe nikienda hospital natoa angalizo kupima malaria tu, heri warudie nitoboa kuchukua damu upya kuliko walete majibu ya kitu kingine!..
Nawaambia imma task oriented sipendi juwa nisivyo na shida navyo!.
 
ha ha ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom