Hawa ni wanawake hatari sana duniani, mwanaume ukikutana nao kimbia

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,494
Unapokutana na kundi la wanawake wa aina hii, mwanaume mwenzangu nakushauri pita kushoto

Sipendi mwanamke wa kumtegemea mwanaume

Mwanamke ambae kuelewa ndo shuluhisho la maisha yake.

Sipendi kukutana na mwanamke ambae bila mwanaume hawezi chochote.

Siwezi kukushauri kuoa mwanamke ambae anafake maisha.

Ogopa kukutana na mwanamke ukimtongoza leo, siku hiyo hiyo bila aibu anataka atumiwe vocha.bill ya umeme,na mambo kibao

Siwapendi wanawake ambao hawajuwi kulinda heshina zao mbele ya wanaume.

Kuna aina nyengine ya wanawake hatar sana hata hawafai kuwa mke wa mtu,wanawake wale wakujibebisha wakijirekodi wenyewe, sijui uwa wana maana gani na nini maana ya kurembua rembua ukiwa mwenyewe unajirekodi then unapost

#Unaweza kuongeza na mengine yanaokukera kwa wanawake
 
Unapokutana na kundi la wanawake wa aina hii,mwanaume mwenzangu nakushauri pita kushoto
*Sipend mwanamke wa kumtegemea mwanaume.
*Mwanamke ambae kuelewa ndo shuluhisho la maisha yake.
*Sipendi kukutana na mwanamke ambae bila mwanaume hawezi chochote.
*siwezi kukushauri kuoa mwanamke ambae anafake maisha.
*ogopa kukutana na mwanamke ukimtongoza leo,siku hiyo hiyo bila aibu anataka atumiwe vocha.bill ya umeme,na mambo kibao
*siwapendi wanawake ambao hawajuwi kulinda heshina zao mbele ya wanaume.
*kuna aina nyengine ya wanawake hatar sana hata hawafai kuwa mke wa mtu,wanawake wale wakujibebisha wakijirekodi wenyewe,sijuwi uwa wana maana gani na nini maana ya kurembua rembua ukiwa mwenyewe unajirekodi then unapost

#Unaweza kuongeza na mengine yanaokukera kwa wanawake
Under dogs...hahaha
 
Hupendi mwanamke anayemtegemea mwanaume?

Hapa wanaume ndo tunakosea sasa

Mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume kwa kila kitu yaani kila kitu

Haya mabadiliko mnayoyataka ya mwanamke kujitafutia ndo shida inapoanzia

Mama anarudi nyumbani saa 3 usiku wewe unarudi saa 4 pia wote mmechokaa mama hawezi kukusaidi chochote na wewe huwezi kufanya chochote

Malezi ya watoto housegirl anahusika matokeo yake mtoto akibaribika mnaanza kusema watoto wa siku hizi kumbe mpumbavu ni wewe mwanaume usiyependa mwanamke anayekutegemea

Tumbafuuuu
 
Mleta mada amepotoka sana.

Haiwezekani mwanaume anafikia mahali anakimbia majukumu yake.

Na Haya mambo ya kuoa wanawake wanaojitegemea ndio yanachangia kwa kiwango kikubwa Ndoa nyingi kuvunjika siku hizi ama kutikisika.

Mwanamke anaona hata mkiachana hana cha kupoteza, hivyo ni bora awe huru.

Asili ni kwamba mwanaume atamtunza mwanamke, mnapoigeuza lazima tu ilete matatizo.
 
Mi nimemjumuisha kwenye kundi la kina mama, siyo mwanaume huyu.
 
Hupendi mwanamke anayemtegemea mwanaume?

Hapa wanaume ndo tunakosea sasa

Mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume kwa kila kitu yaani kila kitu

Haya mabadiliko mnayoyataka ya mwanamke kujitafutia ndo shida inapoanzia

Mama anarudi nyumbani saa 3 usiku wewe unarudi saa 4 pia wote mmechokaa mama hawezi kukusaidi chochote na wewe huwezi kufanya chochote

Malezi ya watoto housegirl anahusika matokeo yake mtoto akibaribika mnaanza kusema watoto wa siku hizi kumbe mpumbavu ni wewe mwanaume usiyependa mwanamke anayekutegemea

Tumbafuuuu

Aisee huna mdogo wako niwe shemeji yako lolest
 
bado sijaoa na naogopa sitaki kumtia mtu gunia mbili za mkaa

Lakini nnachokiona gharama ya mabadiliko ya maisha ndo inazaa yote haya ma-migogoro kwenye ndoa

Mwanamke anayejali kazi sana kuliko familia hafai hata kidogo ila sisi huyo ndo tunayemtaka( sisemi wanawake wasifanye kazi)

jukumu kubwa la baba ni kutafuta na kuhakikisha familia yake inakaa mahala salama

Mama hata kama unatafuta isiwe too much lazima muda wako mwingi uuweke kwenye familia(nyumbani)

Nataka mimi baba nikitoka kazini nikukute home mama unipe pole unikaribishe maji ya kuoga unipe na chakula

Then kesho niamke asubuhi nikwambie mama pesa ya nywele hii hapa pesa na ile nguo uliyotaka kuchua pia hii

Hapo maisha yatakuwa shangwe

sasa mama anatoka kazini saa tatu( yes si anatafuta) na wewe muda huo ndo umerudi hakuna wa kumpa pole mwenzake wote mmechokaa mnalala na minguo hamgusani kesho mkiamka kila mtu na habari zake halafu utegemee maisha ya furaha
 
Hupendi mwanamke anayemtegemea mwanaume?

Hapa wanaume ndo tunakosea sasa

Mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume kwa kila kitu yaani kila kitu

Haya mabadiliko mnayoyataka ya mwanamke kujitafutia ndo shida inapoanzia

Mama anarudi nyumbani saa 3 usiku wewe unarudi saa 4 pia wote mmechokaa mama hawezi kukusaidi chochote na wewe huwezi kufanya chochote

Malezi ya watoto housegirl anahusika matokeo yake mtoto akibaribika mnaanza kusema watoto wa siku hizi kumbe mpumbavu ni wewe mwanaume usiyependa mwanamke anayekutegemea

Tumbafuuuu
I don't think the people in the back heard you!!!
What a comment!!!
 
Hupendi mwanamke anayemtegemea mwanaume?

Hapa wanaume ndo tunakosea sasa

Mwanamke anatakiwa kumtegemea mwanaume kwa kila kitu yaani kila kitu

Haya mabadiliko mnayoyataka ya mwanamke kujitafutia ndo shida inapoanzia

Mama anarudi nyumbani saa 3 usiku wewe unarudi saa 4 pia wote mmechokaa mama hawezi kukusaidi chochote na wewe huwezi kufanya chochote

Malezi ya watoto housegirl anahusika matokeo yake mtoto akibaribika mnaanza kusema watoto wa siku hizi kumbe mpumbavu ni wewe mwanaume usiyependa mwanamke anayekutegemea

Tumbafuuuu
Sizani kama kazi ni kikwazo cha mimi au mke kulea watoto.
Mambo yanaenda kwa mpangilio sio muda wote mm ni kazi na kuchoshwa na kazi tu,hivyo kabla na baada ya kazi kuna mambo mengine ya kufanya moja wapo ikiwa hiyo kulea watoto.
Kila kitu kina muda wake,.
 
Mleta mada amepotoka sana.

Haiwezekani mwanaume anafikia mahali anakimbia majukumu yake.

Na Haya mambo ya kuoa wanawake wanaojitegemea ndio yanachangia kwa kiwango kikubwa Ndoa nyingi kuvunjika siku hizi ama kutikisika.

Mwanamke anaona hata mkiachana hana cha kupoteza, hivyo ni bora awe huru.

Asili ni kwamba mwanaume atamtunza mwanamke, mnapoigeuza lazima tu ilete matatizo.
Tunaishi kulingana na nyakati mkuu,tusiwe watu wa kukalili nyakati.
Kama dhaman waliishi kwa nyakati hizo,basi ilikuwa kwa muda wao,hii ni karne nyengine na mambo mengine.
Dhaman hapakuwepo online market lakn leo zipo,
hapakuwepo na internet lakini leo hipo,kwaiyo unataka tusitumie internet kwa vile dhamani haikuwepo

Ishi kulingana na nyakati
 
Sawa mzee baba umemeka ngoja tupambane tupate zetu
Yah,tusisikalili maisha,zama zimebadilika siku hizi.

Hata na wewe unaweza kuwa tegemeo kwa familia yako na sio kumtegemea mwanaume.

Kama mimi naweza wewe unashindwa wapi
 
Back
Top Bottom