Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,869
- 61,570
Ukiwa na mchepuko ambaye ni mke/mme wa mtu kihisia huwa inaumiza sana hasa pale yule mchepuko anapokuwa na mume/mke wake.Unahisi kama vile anakusaliti,kwa kujiuliza ninapopita mimi na yule naye anapita palepale.Kama jamii haitakuwa makini ni rahisi ndoa ya yule mchepuko kuto kustawi.