Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,786
Binafsi huwa nashangaa sana inakuwaje kuwaje mtu anaacha "vyombo" vizuri na vyenye ngozi nzuri anaenda kwa mzungu ambaye ngozi yake haina hata mvuto?
Kwa wanawake ukweli unaeleweka huwa hawafatagi mapenzi wanafata hela tu.
Nilimuulizaga jamaa angu hapa Iringa ambae ni memba humu ndani hivi hukuwaona Wanawake wa kiafrika? jibu nilitaka nije kuwa na watoto wazuri.