wanawake wenzangu hebu sogeeni huku

wanawake wenzangu hebu sogeeni huku

Mh umetumwa wewe sio bure, wanawake wenzangu msijaribu gunia mbili za mkaa zisijekuwahusu [emoji23][emoji23][emoji23]
Si kwa sasa kuna kampeni kabambe kuwa ukiona mwenzi wako ameweka gunia zaidi ya mbili za mkaa ndani, basi TOA TAARIFA HARAKA KITUO CHOCHOTE CHA POLISI KILICHOPO KARIBU NAWE
😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Kuna vitu sio vya kujaribu.
Mzaha mzaha badaaye huutumbua usaha

Endeleeni kutest mitambo.fun zenu zitageuka vilio.
 
niliwahi kujaribu aisee nikaambiwa poa tu mwili ukawa kama unachoma choma hahahaha
 
Back
Top Bottom