Safari ya mapenzi

Safari ya mapenzi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,881
Reaction score
61,592
Safari yangu ya mapenzi
  • Ilianza nikiwa chuo miaka ya 2003;huko sekondari sikuweza kutokana na mazingira yasiyokuwa huru.
  • Nilikuwa napiga pombe sana ndio ilikuwa starehe ya kwanza,
  • Pia nilikuwa naenda sana club,nikiona mtoto mzuri awe mwafrika,mzungu namuomba tucheze
  • Kutokana na kutumia pombe, ikanipatia wapenzi mbalimbali waafrika,wazungu n.k
  • Nilikuwa nikimpenda mtu...natafuta namba yake najifanya nimekosea kutuma sms,baada ya hapo mchakato unaendelea.
  • Nilikuwa nafunga safari toka mkoa mmoja kwenda mwingine sababu ya demu tu.
  • Kutokana na tulivyozoeana chuoni wenzangu wakawa wananipatia namba za totoz wakati hata mimi siwajui;nikawa nazipiga na tunapeana appointment...siku ya kuonana ukimuona mwenzio kimeo...unakimbia kambi;ilifikia mpaka nikapewa jina la mzee wa k
  • ha ha ha maisha ya ujana raha sana...
Wakuu, nipatieni uzoefu wenu....
 
2003 ulikuwa chuo? Tunaweza kuwa na wazee wetu humu ndani.Kwanza shikamoo mkuu
 
2003 ulikuwa chuo? Tunaweza kuwa na wazee wetu humu ndani.Kwanza shikamoo mkuu
ha ha ha mkuu hakuna mzee huku,wote ni vijana tu.Wazee ni wa miaka ya 70 na kuendelea
 
Back
Top Bottom