WATU WALIOZAA PAMOJA HUWA HAWAACHANI

WATU WALIOZAA PAMOJA HUWA HAWAACHANI

thatone

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2019
Posts
365
Reaction score
196
Habari wana jf..
Hiv ni kweli mtu akishaoa/kuoelewa baadae wakapata mtoto then ndoa ikavunjika je ikitokea mmoja akaoa au kuokewa tena au akapata mahusiano mapya je atakuwa na mapenzi ya dhati kam mwanzo au bado atarudi kwa mzazi mwenzie tu?
 
Habari wana jf..
Hiv ni kweli mtu akishaoa/kuoelewa baadae wakapata mtoto then ndoa ikavunjika je ikitokea mmoja akaoa au kuolewa tena au akapata mahusiano mapya je atakuwa na mapenzi ya dhati kam mwanzo au bado atarudi kwa mzazi mwenzie tu?
 
Sina uhakika,
mimi nilioa tukaachana na tulijaaliwa kupata katoto sketi,kwa sasa lile kila likituma sms ni matusi tu,limekosa mtu wa kulioa linaniona kama mimi ndo mchawi wake,full kujikoki lakini nalichunia.
So inategemea,mie sitaki hata kuliona na umalaya wake.
 
Huyu tu ambaye ametembea naye zamani wanapasha kiporo sembuse waliozaa
 
Habari wana jf..
Hiv ni kweli mtu akishaoa/kuoelewa baadae wakapata mtoto then ndoa ikavunjika je ikitokea mmoja akaoa au kuokewa tena au akapata mahusiano mapya je atakuwa na mapenzi ya dhati kam mwanzo au bado atarudi kwa mzazi mwenzie tu?
Kinategemea nasababu ilio wafanya kutengana na namna mlio tengana kwa amani au kwa funjo.....kuna visa ambao mwana umme hawezi kumsamehe mwana mke au kurudiana nae.
 
Kuna ndugu yangu aliachana na mumewe wakiwa wana watoto wawili, wakati wanatengana huyo mdogo alikuwa na miezi saba ,hawajawahi kuonana t'en mpaka leo mtoto mdogo yuko darasa la sita .
 
Kuna ndugu yangu aliachana na mumewe wakiwa wana watoto wawili, wakati wanatengana huyo mdogo alikuwa na miezi saba ,hawajawahi kuonana t'en mpaka leo mtoto mdogo yuko darasa la sita .
So sad jamn
 
Kinategemea nasababu ilio wafanya kutengana na namna mlio tengana kwa amani au kwa funjo.....kuna visa ambao mwana umme hawezi kumsamehe mwana mke au kurudiana nae.
[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom