Wakati upo darasa la kwanza ukifanya vizuri wanakuambia oooh subiri darasa la tatu ndio hesabu zinakuwa ngumu, ukifika darasa la tatu unaambiwa darasa nne kuna mtihani wa taifa kuvuka ni issue...
Classical Women wako poa sana, Ila wengi ni wafia dini na hakawii kukubania papuchi ila akaenda kumpa Baba Mchungaji wake. Pia wanapenda sana kushinda Church. Pesa zao nyingi huwa zinaishia...
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji mwanamke aje kuwa mke wangu wa maisha mwenye hali kama yangu.
*Sifa zangu ni..
1. Mwajiriwa na nimejiajiri ili kuongeza kujikimu zaidi.
2. Mrefu wa...
Eti wakuu kuna jambo linanitatiza sana, hivi hawa wazee wetu waliwezaje kujenga hizo nyumba,
Maana mimi kila nikipata pesa Naishia kukutana na watoto wakali.
Cc Zero IQ
Aisee.. Hili ni jambo gumu. Nilkua na mpenzi wangu tuliodumu miaka 5, sasa amebadilka bila sababu, mawasiliano yamekua adimu kama kaka kuona. Anazima simu hata wiki mbili bila sababu maalum...
hellow wana MMU! salam! asanteni kwa michango yenu ambayo kiukweli kuna zinazofunza kufurahisha na kutoa changamoto!
.
.
kuna hili swala kidogo linanitatiza "mfundishe / mrekebishe" mpenzi wako...
Nawasalimuu wakuu..
Desturi ya kuwasubiri wana ndoa nje ya mlango kufanywa na
mtu anayeitwa kungwi. Na bi harusi huwekewa kitambaa cheupe
anapoingiliana na mumewe kwa mara ya kwanza ili matone...
Wasalaam, Ni matumaini yangu wote hamjambo na Mungu apewe sifa na utukufu maana vyote ni vyake.
Kuna kipindi nilileta uzi hapa kuomba ushauri, wengi walinishauri vizuri sana na kwa asilimia mia...
Amani kwenu wana jamvi na wapitaji.
Unakuta una mke ambaye hana hofu ya Mungu, kutwa nzima unashinda na presha eti unachitiwa, kweli? Kama hamuogopi Mungu atakuogopa wewe?
Mwingine unakuta...
Naona ule uzi wa kwanza umefutwa, basi ngoja niondoe habari za mizigo ibaki Happy it's already Weekend...
Natumai hii haina madhara kama ile iliyofutwa jana...
Yaani hii excitement sijui...
Mapenzi bila pesa ni kazi bure...tujaribu kutunza zile chenji chenji zinazobaki ili mwisho wa wiki tuwe tunatoka mara moja moja.Tutumie njia hii kutunza chenji zetu.....
mseee wangu, mimi ndimi.
eeebana juzi kati hapa nilikua na shemeji yenu mmoja hivi, nikaona nimpeleke kwenye nyumba ya mwanangu mmoja hivi maana kwangu kulikua na wageni, na mimi sio mpenzi wa...
Aiseee,salaaaaaam,
Nowadays, hii mambo haina ugumu kabisa,kuoa no kihere here chako tu,au kua na girlfriend permanent is at your own risk.
Wewe pendezesha,gharamia,nunulia kasmartphone,weka vocha...
kuna dem bana tulikua na mahusiano kama miez 5 ivi.asa sijui alipataga mhun wa kumpa hizi chips chips nlishangaa ghafla ananiblock sehem zote tulizokuwa tukiwasiliana,nkaona isiwe kes nkaomba cm...
Kama nimewahi kugusia katika uzi ulopita kuwa nimejikuta nikimtongoza kwa mwendo kasi mwanamke ambaye kumbe nilikuwa na mahusiano na best yake. Sasa bwana kumbe yule bishost alimwambia rafiki yake...
Nina Mjumbe wangu wa Nyumba Kumi huwa anapenda mno Kufanya Mizaha inayokaribia na Ukweli na Mke wa aliyekuwa Mjumbe wetu wa Nyumba Kumi na hupenda Kufanya Mizaha yake hiyo pale tu akiwa...
Udictecta Wa Jf Uzi Wangu Umepigwa So Sad[emoji36][emoji36] Hivi hakuna forum nyingine tena ambayo unaweza kuwa alternative ya Jf hapa Tz : Jf imefika muda nahisi anahitaji mpinzani
Moderate...
Habari wana jf..
Hiv ni kweli mtu akishaoa/kuoelewa baadae wakapata mtoto then ndoa ikavunjika je ikitokea mmoja akaoa au kuokewa tena au akapata mahusiano mapya je atakuwa na mapenzi ya dhati kam...
wakuu kama kichwa cha habari kinavyoeleza.ilikua mwishon mwa mwez wa 6 nilienda kumtembelea mkubwa angu ambaye n kaka angu anaefanya kaz arusha .sasa sehem alikopanga kuna pia wadada wawili...