zombieboy
Member
- Jul 1, 2019
- 54
- 73
kuna dem bana tulikua na mahusiano kama miez 5 ivi.asa sijui alipataga mhun wa kumpa hizi chips chips nlishangaa ghafla ananiblock sehem zote tulizokuwa tukiwasiliana,nkaona isiwe kes nkaomba cm ya mshikaj wangu nkampigia aliposkia saut yangu akakata cm.kumbe bna ana mdogo ake na ananikubal ile mbaya nmeamua kudate nae
akili yangu inawaza nmnyanganye nguo zote nlizomnunulia nmpe mdogo ake ad malapa kudadek
ZOMBIE BOY
akili yangu inawaza nmnyanganye nguo zote nlizomnunulia nmpe mdogo ake ad malapa kudadek
ZOMBIE BOY