NIMEBAMBWA

NIMEBAMBWA

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
1,440
Reaction score
2,966
Kama nimewahi kugusia katika uzi ulopita kuwa nimejikuta nikimtongoza kwa mwendo kasi mwanamke ambaye kumbe nilikuwa na mahusiano na best yake. Sasa bwana kumbe yule bishost alimwambia rafiki yake kuwa nimemtongoza...

Sasa leo kila mtu amenitafuta kwa muda wake akitaka niwe na yeye tu na niachane na best yake. Mmoja nimemgonga na mwingine bado..... Je kadhia gani ipite hapo???


Kwenu Wakuu
Namalizia kwa kuwasalimia
 
Kwa mtindo huu itabidi tu serikali iongeze fursa za ajira...
 
Kumbuka kuwa ifikapo 2025 Tanzania inatakiwa kuwa na uchumi wa kati!...

Kwa akili za kusimuliana ngono Kama hizi sidhani Kama tutafika! Hongera kwa kugombaniwa poti.
Jukwaa la siasa haujui lilipo?
 
Kumbuka kuwa ifikapo 2025 Tanzania inatakiwa kuwa na uchumi wa kati!...

Kwa akili za kusimuliana ngono Kama hizi sidhani Kama tutafika! Hongera kwa kugombaniwa poti.
ha ha ha ha mkuu mapenzi hayategemei uchumi wa kati,uwe unalala kichakani,gorofani n.k mapenzi yapo tu.
 
Mkuu...
Minakushauri tu ucheze na vibes, kisha malizia na tetema
 
Back
Top Bottom