Habari za Jumapili wadau
Kuna sintofahamu kuhusu usalama wa privacy zetu humu lakini watajua wenyewe. Watakuwa wameshauza ramani ya vita kwa adui. Sasa hatuandiki tena habari wanazozitafuta...
Natanguliza salamu.
Mimi bwana Kuna mdada tulitongozana kwa njia ya Facebook mwaka 2012. Tukapendana tukapendana na tukapendana tena.
Lakini kutokana na umbali penzi lilizidi kufifia na ukabaki...
Mahusiano yoyote yale huhitaji mtu mwenye uvumilivu, imara, mkweli na muwazi lakini hivi vyote vikishindikana basi, mahusiano hayo huingia doa.
Watu kuwa na wapenzi wawili wawili huenda ikawa...
Ewe mwanamke unapokwenda kwenye duka la vifungashio,iwe kununua chupi,blazia,nightdress n.k.
Ni muhudumu yupi utapenda akuhudumie kati ya Mwanaume au Mwanamke !!!
Kwanini akuhudumie...
Habari za Jumamosi wenzangu,
Kibongobongo wengi wetu leo tunafanya mapumziko baada ya pilikapilika za wiki za mihangaiko. Naomba tushee hapa kuhusu shauku zetu yani ni nani unampenda sana...
Wakuu nahitaji mawazo yenu kwa kipindi hiki cha majaribu nachopitia.
Mi nimeolewa nina miaka kama 9 kwenye ndoa na kwa kipindi hiki chote nimepitia mazuri na changamoto pia ila sikuwahi kujutia...
Hello guys
Few years back, Kuna mdada hapa mtaani nlimtongoza, akanikataa kwa kuniambia kuwa ana boyfriend hawezi kuchanganya wanaume, blah blah, na mm sikujichosha kumsumbua wala kum-convince...
Natarajia kuanza likizo yangu ya siku 28 siku tano zijazo.
Wakati wa Likizo natamani kutembelea mmoja Kati ya mikoa ifuatayo Mwanza, Arusha, Kilimanjaro, Mtwara, Tabora, Iringa, Mbeya na Dodoma...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema,nimetokea kumpenda binti mmoja ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili.
Binti huyo tulianza kuonana pale alipokuja anauza vitumbua kwenye kijiwe ninacho fanyia...
Kwanza nianze kwa kukiri moja kwa moja tukio hili limenikuta Mimi na wala kama sio wana jamii forum wengine huwa wanatumia neno jamaa yangu wakati ni wao wenyewe!
Ni hizi mwezi uliopita nilikutana...
Nipo kwenye daladala nimekaa siti moja na demu mmoja mkali ananunikia vizuri. toto jeupe lina chura mkubwa. sasa wakati anakuja kukaa top aliyovaa ilipanda juu kidogo nikaona shanga kiunoni za...
Habari yenu,
Wenzangu nimepitia mengi kama mwanamke mwenye ugumba. Wanawake zaidi ya watatu wote nagundua wasaliti.
Hivi kuna mwanamke ambaye si msaliti? Hasa linapokuja suala la kurubuniwa na pesa?
Kitu kinatupaga wakat mgumu wanaume ni kwamba,
Umemtongoza demu na mmekubaliana, sasa siku umeamua kumkaribisha getoni kwako,, afu utata unakuja jee! Umuchakate siku hiyo hiyo au utulie kwanza...
Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda...
Hope mko poa
Ipo hivi miezi mitatu ya nyuma nilienda ofisi moja hivi nikiwa nafuatilia mambo flani yangu binafsi. Sasa nilikaa pale mda mrefu sana kwa sababu nilikuatana na marafiki zangu wengi...