nipo kwenye daladala nimekaa na demu mkali

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2015
Posts
328
Reaction score
633
Nipo kwenye daladala nimekaa siti moja na demu mmoja mkali ananunikia vizuri. toto jeupe lina chura mkubwa. sasa wakati anakuja kukaa top aliyovaa ilipanda juu kidogo nikaona shanga kiunoni za gold. Anatumia Iphone x. bado sijamwongelesha jamani sijui nianzie wapi. Hili suala la kuanzisha conversation naona bado gumu kwangu.

uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona simple, ulishindwa hata kumuuliza bei ya Iphone X ?
 
Nipo kwenye daladala nimekaa siti moja na demu mmoja mkali ananunikia vizuri. toto jeupe lina chura mkubwa. sasa wakati anakuja kukaa top aliyovaa ilipanda juu kidogo nikaona shanga kiunoni za gold. Anatumia Iphone x. bado sijamwongelesha jamani sijui nianzie wapi. Hili suala la kuanzisha conversation naona bado gumu kwangu.

uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie dada unanukia vizuri, kisha muulize ni manukato gani, ungependa uje umnunulie beibi wako ukimpata. Usisahau kuchukua namba
 
Toa elfu kumi mlipie nauli halafu muombe namba ya simu ila chenji mwambie konda ampe huyo dada
 
Back
Top Bottom