Malingumu
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 616
- 429
Habari za Jumamosi wenzangu,
Kibongobongo wengi wetu leo tunafanya mapumziko baada ya pilikapilika za wiki za mihangaiko. Naomba tushee hapa kuhusu shauku zetu yani ni nani unampenda sana haijalishi ni mtu maarufu au wa kawaida na unatamani siku uwe nae.
Naomba nianze mimi: Hapo awali nilikuwa nampenda sana huyu binti anaitwa REBECA GYUNI ila tangu avishwe pete na yule msela nahisi kiungo changu kimoja cha kupenda kimekufa ganzi..
Vipi wewe kwa upande wako, ni nani anakusumbua sana akili na unatamani siku moja umtwae awe wako?