Chupi(g string)/kifuniko cha achali

sheremaya

JF-Expert Member
Mar 22, 2015
2,894
5,909
Ewe mwanamke unapokwenda kwenye duka la vifungashio,iwe kununua chupi,blazia,nightdress n.k.

Ni muhudumu yupi utapenda akuhudumie kati ya Mwanaume au Mwanamke !!!

Kwanini akuhudumie mwanaume...... ?
Kwanini akuhudumie mwanamke...... ?

Ni muhudumu yupo unakua comfortable kumueleza hitaji lako la kifungashio
 
Mwekezaji mwenye kiwanda cha kuuza vifuniko vya asali Kaboom uje utupe uzoefu.

Raha ya hii uwauzie wateja wa oposite gender. Many yrs back Kuna mteja alinunua akawa ana wasiwasi kama zitamfiti. Nikamwambia chukua namba zangu zisipo fit tutajua cha kufanya. Alipofika bada ya kujaribu akatoa mrejesho. Nikamwambia anitumie picha nione jinsi zilivyo mkaa vema. Stori ikaanzia hapo.
 
Hadi sasa sijawahi personally kununua hivo vitu....ni either aninunulie mama ama my baby

Japo nafikiri ni more comfortable nikikuta wa kike
Nimeshagundua umri wako, kumbe bado mbichi kabisa, sasa naanza kuvizia ukitoka tu kwenu nafukuzia nyuma mpaka nihakikishe nimemiliki.😎😎
 
Hadi sasa sijawahi personally kununua hivo vitu....ni either aninunulie mama ama my baby

Japo nafikiri ni more comfortable nikikuta wa kike

Watoto wa kishua bhana
Why utafeel more comfortable ukikuta mwanamke huoni kama atashindwa kukchagulia nzuri
 
Mwekezaji mwenye kiwanda cha kuuza vifuniko vya asali Kaboom uje utupe uzoefu.

Raha ya hii uwauzie wateja wa oposite gender. Many yrs back Kuna mteja alinunua akawa ana wasiwasi kama zitamfiti. Nikamwambia chukua namba zangu zisipo fit tutajua cha kufanya. Alipofika bada ya kujaribu akatoa mrejesho. Nikamwambia anitumie picha nione jinsi zilivyo mkaa vema. Stori ikaanzia hapo.
@cute b nimekumiss mdogo wangu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom