Natafuta mwenyeji kwenye baadhi ya mikoa nitakayotembelea wakati huu ninapoanza likizo

coco bella

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
305
315
Natarajia kuanza likizo yangu ya siku 28 siku tano zijazo.

Wakati wa Likizo natamani kutembelea mmoja Kati ya mikoa ifuatayo Mwanza, Arusha, Kilimanjaro, Mtwara, Tabora, Iringa, Mbeya na Dodoma

Kwa yeyote aliyeko ndani ya mikoa hiyo naomba awe mwenyeji wangu.
 
Una sehemu ya kufikiaa..?

Bajeti ya kula unayo..?

Pesa ya matumizi madogo madogo jee..?

Kamaanjibu ndiyo karibu masasi.

Nipo mwenyeji wako hapa.
Natarajia kuanza likizo yangu ya siku 28 siku tano zijazo. Wakati wa Likizo natamani kutembelea mmoja Kati ya mikoa ifuatayo MWANZA, ARUSHA, KILIMANJARO, MASASI, TABORA, IRINGA, MBEYA na DODOMA. Kwa yeyote aliyeko ndani ya mikoa hiyo naomba awe mwenyeji wangu.
 
Labda niwe muwazi hii mikoa niliyoitaja sijawahi fika na mpaka nataka kutembea ina maana mwenyewe nimejipanga kikubwa natamani nipate mtu wa kunionesha mji, sio kuwa mzigo kwa mtu yaani nimtegemee kwa kila kitu hapana.
 
ukipata chance ya kuja nanjilinji nistue mkuu nitakua tayari kukupokea na kukuhudumia, asante.
 
Back
Top Bottom