Huyu Mwanamke simuelewi kabisa hasomeki

Huyu Mwanamke simuelewi kabisa hasomeki

The patriot man

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
1,124
Reaction score
1,459
Hope mko poa

Ipo hivi miezi mitatu ya nyuma nilienda ofisi moja hivi nikiwa nafuatilia mambo flani yangu binafsi. Sasa nilikaa pale mda mrefu sana kwa sababu nilikuatana na marafiki zangu wengi ikawa tunapiga story saana huku tukisibiri huduma. Mara baada ya Mda akaja dada mmoja hiivi mzuri kweli ana hips balaa tupu alafu pia ni mrefu yaani ki ufupi ni mzuri sana. Na yeye akaja akawa ameungana na sisi pale story story sana baadae mimi nikapata huduma wa kwanza nikawaacha pale wote.


Baadae jioni mshikaji mmoja akaniambia oya Yule Demu ameniomba namba yako kasema unaonekana mchangamfu sana alafu una story na comedy comedy so alipenda vituko vyangu.. nikasema haiwezekani mwanamke mzuri kama yule kuomba namba yangu jamaa aksema kweli .. nikaona miyeyushoo jamaaa anazingua. kweli kesho yake Demu kanivutia waya hello mimi fulani tulikutana sehemu flani niakmuambia poa nambie mekupata .

Story zikaanza ikawa kila day lazima anicheki, morning, jioni ku ni wish usiku mwema yaani hivo kila siku kwa mda wa almsot 3 weeks hapo sijamtongoza ila naona kabisa anataka nimtongoze nikasema sitaki ku ji resiii mtoto huyu ni mkali ila ngoja nimuone mwisho wake.

Siku moja nikamuomba appointment... paa mara kakubali tukakutana demu kajiparaa balaaa yani macho kodo kwa vidume .. tukaak sehemu story nikafungungaka wewe mtoto akanielwa asilimia 100%... tukarudi home baada ya sku kadhaa akawa anitafuti tena yeye Mpka mm nimtafute huwa ananitafuta mara moja moja usiku huku akiniuliza mekula, au unafanya nini.. ila kibao kimegeuka kwangu mara nyingi huwa mpaka mimi nimtafute. hebu nielezi hapo wakuu... coz sijamuelewa aisee najaribu kumsoma bado yaani coz every thing anatii,
NOTE: sijawahi kumuambia kitu akagoma, wala sijawahi kumpigia cm asipokee, na kama nikipiga cm kama hajapkea huwa baadae ananitafuta... na kuniomba Radhi
 
Wewe unadhani Baba yako alipomfuata mama yako kwao/kwa babu mzaa mama yako akamleta kwake akawa anaenda kutafuta mama yako ale..mkazaliwa unafikiri alikuwa mjinga?

Wewe mwanamke kajileta kakupa namba ya simu anakuuliza umekula ukampa miadi akaja...ukamtongoza bado akakukubali...

Ulitaka bado aendelee kukunyenyekea kweli....? Vipi ushamnaniii?

Ameona anakuhitaji zaidi ya unavyomhitaji kakustukia...Ukipendwa jitahidi upendeke.
 
Bhasi wewe Jifunze kubalance shobooo sio mpaka Ukuambie mzee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Afadhali wamjua mmoja tu.

Kuna wanaume mtaani ukionekana nao utasubiria barua ya kuposwa nyumbani hadi sidiria zilizokupwaya ujanani zitaanza kukutosha.
Hahaha dooh!
 
Back
Top Bottom