Nimfanye nini mke wangu huyu?
Naombeni ushauri kwani nimegunduamke wangu amepata mchepuko kiasi kwamba ameanza kuwa na katabia ka udanganyifu.
Nimemchunguza sana ktk cmu yke nikakuta msg...
Sasa ipo ivi kipindi naanza chuo nilikutana na mdada mmoja tunasoma course moja tukazoeana lecture tukawa tunakaa wote namsainia na kumfanyia assignment asipokuwepo kiukweli ule ukaribu ulinifanya...
Unagundua dada yako (kwa mama/baba mdogo/mkubwa) anataka umpige nao,unajikausha tu kwa muda mrefu sana ili kulinda heshima yenu na ya wazazi wenu,Siku ya siku mkeo naye anagundua hicho...
Hello guys,
Baada ya kupitia rejetions za kutosha, sasa nimebuni mbinu murua za ku-notice na kuepuka vibuti kabla havijanifikia, hizi njia huwa zina-save my time, money, and energy, pia hii mbinu...
Habari wanandugu,
Ilikuwa mwezi wa 4 mwaka 2007 nikiwa zangu hospitali ya KCMC Moshi huko nimeenda kufanya field. Siku moja tukiwa tunakaribia kumaliza shifti akatokea mama mmoja na mwanawe wa...
Hodi humu ndani,
Sijui ninakasumba gani mimi, nimahiri kwenye kutongoza lakini kukataliwa ni suala la kawaida sana japo kuwa mimi ni kijana handsome na mwenye sifa zote.
Habari zenu.
Ni kwamba nilikuwa n tabia ya kupenda wadada wasafi fulani kimuonekana, yaani maduu.
Mwezi uliopita niliend kula kwa ama lishe, sijajua kilitokea nini. Kuna binti kimuonekano "mchafu...
Na. Robert Heriel.
Wanawake wanapenda uhuru sana lakini hawajui athari za uhuru. Tumeshuhudia katika zama hizi za Utandawazi wakidai haki mbalimbali ikiwemo haki ya maamuzi katika mitindo yao ya...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] _*Swaga za wanawake*_
1. Ndio nakuja ila ujue sikai sana
2. Nishukie wapi?
3. Saizi saa ngapi nataka kuondoka
4. Ubaya wako...
Hivi ni nani aliyewakaririsha wanawake kwamba lazima walale upande wa ukutani?
Haka katabia hata kwaupande wangu kananitokea pindi niwapo kitandani basi lazima mwanamke atapenda kulala ukutani...
Wakuu salaam
Husika na kichwa cha habari hapo juu, pasi na kutoa kisa kirefu naomba mnisaidie kwa kujibu swali hili: Kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyezaa na mwanaume mwingine, na huyo mwanaume...
Habari za mwisho wa wiki waungwana,
Hiki kisa ninachokisimulia hapa naona kama kinataka kujirudia na tukio lililotukia nikiwa mwanamke wa makamo I was in my last 30s year....
Ni miaka 10...
Wala nisiwachoshe.ilikuwa mwaka 2009 katika mizunguo yangu ya kikazi nikawa nasafiri na private car kwenda mwanza. So nikapita Dodoma maana kuna msichana nlikuwa namdate kila nikipita ile barabara...
*MUHIMU*```
[emoji654]Kuna siku marafiki tutatengana[emoji174] hatutaonana tena wala kuwasiliana.[emoji181]
[emoji654]Wengine umri utakuwa umeenda[emoji803] sana wamekuwa wazee na wengine...
Nigani asee machalii,Ma'dingilii na ma'manzi wa humu fas ya MMU!!Mko yente eeh.!?....Direct to e'point,aisee me nawaambiaje.!Kuna baadhi ya ma'manzi hawatatimba ndichi duas ya Mbinguni kwa Sir God...
Habarini wakuu,
Kuna dada mmoja mzuri sana shombeshombe tunakaa nae mtaa mmoja. Ameamia hivi karibuni, anaishi mwenyewe. Nimetokea sana kuvutiwa nae, angalau niwe karibu nae, tuwe tunabadilisha...
awali ya yote naomba mlio karibu na "gavana" mfikishieni ujumbe kuwa hiyo kanzidata(database) yake anayofiikiria kuijenga ambayo itatumika kuhifadhi taarifa za wanandoa haitakuja kusaidia kitu...
Kila ukinywa bia 1 umekunywa tofali 2 za kujengea.
Bia 1 kwa bei ya kawaida ni Tsh.2500/= na tofali 1 la
inch 6 kwa maeneo mengi ya nchi ni bei isiyozidi
Tsh.1300/=. Kama unakunywa wastani wa bia...
Nilishamwambia mapema haya mambo yanataka moyo wa chuma, ukiwa na moyo
laini wa kike hayafai kabisa. Siku 7 tu na mwili umenywea. Hizi ni meseji ambazo zimemfanya
jamaa mpaka leo asirudi kwa...