Je nani alikosea dada/ Kaka au wote?

Je nani alikosea dada/ Kaka au wote?

ndandambuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
973
Reaction score
665
Unagundua dada yako (kwa mama/baba mdogo/mkubwa) anataka umpige nao,unajikausha tu kwa muda mrefu sana ili kulinda heshima yenu na ya wazazi wenu,Siku ya siku mkeo naye anagundua hicho kitu,anakuuliza mume wake,mbona wewe na dada yako hamheshimiani ,unamuuliza kivipi? Anakwambia maneno anayoongea mbele yako hayastahili kuongea ukiwepo,yanaisha ,Mkeo haishii hapo baada ya miezi kadhaa kupita unasikia kaenda kulalamika kwa mtu wake wa karibu.
Kwa lugha rahisi ni kwamba mkeo anakuwa anahisi una mahusiano na huyo dada yako,unaanza kutafakari je kweli dada anataka achapwe nao au amehisiwa vibaya,unaamua kujaribu ili ujue ukweli ,bahati nzuri au mbaya anakubali ila kwa mbinde sana na siku hiyohiyo unamchapa nao mahusiano yanaanza kwa kasi ya ajabu,penzi linakolea haswaaa hutaki kusikia yuko na mwingine Wala nini, mwisho wa siku unagundua kuna mwanaume mwingine anammega unaamua kumwambia muachane ili aendelee huyohuyo mwanaume,baada ya kumwambia hivyo anaanza kulalamika"MIMI SIKUTAKA MAHUSIANO NA WEWE KWASABABU NILIJUA IKO SIKU YATATOKEA HAYA, HUWEZI UKATEMBEA NA MIMI HALAFU UNIACHE,SIKU YA KWANZA NILIKATAA SANA LAKINI HUKUNISIKILIZA,MIMI SINA MAHUSIANO NA HUYO MWANAUME ILA WEWE KWAMUWA UMENICHOKA UMEAMUA KUNITAFUTIA SABABAU" katika mazingira kama haya je ni kweli yeye hakutaka mahusiano au alitaka ila alikuwa hawezi kusema?Je ulaumiwe wewe kwa kumtaka dada yako au nayeye alaumiwe kwa kutegeneza mazingira yaliyojenga ushawishi wa kumtongoza?
 
Watakiwa samehe tumbo moja tu wengine kula uwezavyo na utakavyo
 
Back
Top Bottom