Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

etiii oooh! "kipepe niazime laki4 ndani ya week mbili nitakulejeshea!" aseee! upo upo tuu, hata kazi huna hiyo laki nne ndani ya week mbili unaipatia wapi??? unanipiga kizinga cha kidigitali...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwanini ujipe stress yakukimbia mji au kuama mtaa kisa umemtia mimba mwanamke na huna uwezo wa kulea! Tumia condom na ikishindikana piga nyeto!maana watoto walio na baba ni wachache kuliko watoto...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Kiuhalisia, watu wazima huwa tuna matendo na tabia zinazoendesha maisha yetu ya kila siku lakini huwa hatutilii maanani wala kuhoji mambo haya yanawezekana vipi. Huwa tunasalimia wafanyakazi...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Nina furaha kubwa baada ya kupata mpenz JF na sikua nimewah kufanya mapenz kabla kanipa Ushilikiano Mzuri sana
2 Reactions
92 Replies
7K Views
Habari za Jioni ndugu zangu wasomaji wangu. bila shaka mnaendele vizuri na shuguri za hapa na pale katika kutafuta riziki. sitochoka kila jema kuwaletea. WAPENZI na wanandoa wengi hivi leo...
2 Reactions
23 Replies
163K Views
Hii nimeicopy mahali nikaona acha nishare na wapendwa wa humu TOFAUTI KATI YA MKE NA MCHEPUKO Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu. Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Naandika uzi huu nikiwa na masikitiko sana, niko Iringa vijijini uku mnaita Pawaga, kuna ishu flani naifatilia hii siku kama ya nne Nimechukua gest hapa na kila siku nalala peke angu roho inaniuma...
4 Reactions
56 Replies
7K Views
Usiku wa kuamkia siku ya Leo haukuwa usiku mzuri kwangu japo niliweza kupunguza uzito kimiujiza. Nilikutana na mrembo niliyemfukizia kitambo sana akanikubalia bahati mbaya tukapotezana bila...
1 Reactions
72 Replies
7K Views
Hii inakata mzizi wa Fitna. So kama atarudisha kweli atafuata sharti la Mkopo ila kama alikuwa anadanganya atakataa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu! Wale wataalam kutoka ng'ambo huko mbele,wamesema ifikapo September mwaka huu viagra kwa wanawake itakuwa sokoni!!! Swali!! Bila viagra nibalaa wakimeza itakuaje...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
NYUKI UMENING'ATA Ewe nyuki, ewe nyuki, ewe nyuki. Itika nakuita. Kwanini lakini ewe Nyuki? Umenifanya niumie, niteseke, niweweseke. UNANIONEA. Asali ninaonja, kidogo na si sana. NAFURAHIA. Ila...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
1.anaonyesha mapenz mazito hata wik or mwez hamjafikisha toka muwe wapenz 2.mwenye malalamiko kwamba hutimiz ahadi..(huyu ni hatar..na mbinafsi,..yeye katimiza ahad gan kwako,kukupa papuch au?)...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Ni matumaini mko bukher bin afya Unpokua katika masuala ya kistareheka na mwenza wewe huwa kama mboga kumaanisha utamu wako (ufundi) ndio humfanya ugali wako (mwenza) aishe ama kufika. Ni vema na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana Mh Joseph Mbilinyi aka Sugu amefunga ndoa na mapenzi wake bi Happiness Msonga. Ni jambo la kheri kwao na Mungu awape kheri na maisha ya furaha. Sasa jioni ya Jana mzazi mwenzie wa zamani ni...
10 Reactions
35 Replies
6K Views
Wakuu nipo bored and lonely sana leo hii. Kwa member KE aliye Mbeya hasa hasa wilaya ya Mbarali tuchekiane PM ili tupate lunch pamoja na maongez ya hapa na pale. Urgently
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Ilikuwa ni siku ya tarehe 2 Januari 2018 ambapo mshauri wetu wa Huduma ya Simu kwa mtoto alipokea simu ya mama kutoka wilaya ya Ubungo. Mama huyo alikuwa na malalamiko ya kukosa matunzo ya mtoto...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
UISLAAM NI MZURI KATIKA KILA NYANJA...HAKUNA MAHALI NI MBAYA...LABDA KWA MFANYA DHULMA... Umeweka utaratibu katika kila jambo... mfano:- NDOA KATIKA UISLAAM...HAIWI NDIO KIGEZO CHA USHIRIKA...
23 Reactions
231 Replies
17K Views
Yani kama kachorwa.
12 Reactions
86 Replies
11K Views
Wapendwa kama mjuavyo, hatimaye majuzi nilimkamata yule kuku niliyekuwa nikimkimbiza kwa ajili ya kumfanya kitoweo na sasa yuko mikononi mwangu hapa. kuku mwenyewe nikimgeuza huku na huko namwona...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…