Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,085
- 16,063
1.anaonyesha mapenz mazito hata wik or mwez hamjafikisha toka muwe wapenz
2.mwenye malalamiko kwamba hutimiz ahadi..(huyu ni hatar..na mbinafsi,..yeye katimiza ahad gan kwako,kukupa papuch au?)
3.aliyewai pendana na mtu sana wakaachana na umri imeenda,hawa huwa hawapend tena na character za juu hapa znawahusu sana na wana visasi
Nadhan niishie hapo.kama unalakuongezea bas sauwa
Uzi tayar