Kama hutaki majukumu tumia condom

Kama hutaki majukumu tumia condom

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Kwanini ujipe stress yakukimbia mji au kuama mtaa kisa umemtia mimba mwanamke na huna uwezo wa kulea!

Tumia condom na ikishindikana piga nyeto!maana watoto walio na baba ni wachache kuliko watoto wenye baba!maana tutajiongezea maadui huku mtaani!maana single mother ni hatari sana na ni janga la Taifa hili
 
MAJUKUMU hayakimbiwi.

MAJUKUMU yanakupa SPIDI zaidi ya kutafuta.

MAJUKUMU yanakukuza kiAKILI.

Usiogope MAJUKUMU hata Siku moja.

MAJUKUMU ukiyazoea huwezi kufikiria hicho unachokifikiria wewe.

Acha UOGA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka kinomaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kutumia gharama kubwa kama kulipia chakula,vinywaji,lodge,usafiri na mengineyo halafu nitumie ndom,mara mia nipige nyeto shubaaaaamit.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwanini ujipe stress yakukimbia mji au kuama mtaa kisa umemtia mimba mwanamke na huna uwezo wa kulea!

Tumia condom na ikishindikana piga nyeto!maana watoto walio na baba ni wachache kuliko watoto wenye baba!maana tutajiongezea maadui huku mtaani!maana single mother ni hatari sana na ni janga la Taifa hili
Si la mmoja hilo. Naye kama hataki mimba, atumie ndomu za kike au uzazi wa mpango.
 
MAJUKUMU hayakimbiwi.

MAJUKUMU yanakupa SPIDI zaidi ya kutafuta.

MAJUKUMU yanakukuza kiAKILI.

Usiogope MAJUKUMU hata Siku moja.

MAJUKUMU ukiyazoea huwezi kufikiria hicho unachokifikiria wewe.

Acha UOGA
Utekelezaji wake sasa.
 
Wanaume wamekua wachache sana. Na wanagombaniwa balaa na wadada. Sasa kwa hali hii michepuko itaisha kweli??
 
Back
Top Bottom