Kumbe mboga ndio humaliza ugali na sio njaa???

Maker og

Member
Aug 30, 2019
25
30
Ni matumaini mko bukher bin afya
Unpokua katika masuala ya kistareheka na mwenza wewe huwa kama mboga kumaanisha utamu wako (ufundi) ndio humfanya ugali wako (mwenza) aishe ama kufika.
Ni vema na ni jambo zuri mboga kuisha na ugali. Nadhani ni wazi kila mtu anajua namna ugali hutia huruma ukiacha uje kuitwa kiporo. Hivyo n vyema kumaliza vyote kwa pamoja
Je ww huwa unajiskiaje pale unapoacha kipolo kidode. Na je huwa unafanya nn ili usiache kipolo.
 
Hujafafanua mkuu ugali wa aina gani. Je, ni
Dona.
Sembe.
Wa muhogo.

Maana kila ugali hapo una taste yake.
 
Back
Top Bottom