Wahuni/mabaharia wanaumoja

Wahuni/mabaharia wanaumoja

DENI LA BENKI

Member
Joined
Sep 15, 2019
Posts
14
Reaction score
11
Salaaam....
Ngoja niende kwenye mada
Bila kificho niwazi kwamba wahuni wanamthamini mtu na shida zake "regardless" anamkosea mungu au serikali.
Ukipata "demu" hata kama huna pesa za kutosha yupo msela atakwambia "weka tu mafuta kwenye boda yangu kamfate Shemu". Mwingine atajitokeza " funguo za ghetto hizi hapa utanipa ukitoka". Mwingine atakwambia "pitia getoni kwangu kuna 'ndomu' pakti moja sijatumia". Na ikitokea getoni umewakuta masela utaona hata kama hujawaomba wanakupisha. Wanakusaidia kwa adabu kama wanampisha mtu anayetaka kuswali. Utasaidiwa kila kitu kiasi cha kufikia kuzini tuu na kuondoka.

Ila sasa ukitaka kwenda sijui kanisani ,kila unayemuomba rifti hasimami. Kama ni msikitini utaangaika na kanzu ya kuazima hadi mudi ya kuswali ina"vepa".

#Mniombee🛌🛌🛌
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi siku zinaenda mbele au zinarudi nyuma?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Sometimes shetani ana nguvu lakin Mungu katupa utashi wa kuamua
 
Back
Top Bottom