Imeniuma sana kuna baharia kuna familia imemkatilia asioe binti ambae kamsomesha mwenyewe

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Kuna baharia hapa mtaani kwangu alikuwa ana mahusiano ya muda mrefu na binti flani hivi ambaye anaishi mtaa wa tatu toka hapa tulipo ninapoishi Mimi na huyo baharia........

Kwa kifupi mahusiano ya huyu baharia na huyu binti ni ya muda mrefu kila mtu anafahamu na baharia anatambulika sana katika ile familia ya binti ambaye ana mahusiano nae na imefika hatua mshikaji alimsomesha binti hadi kumaliza chuo kikuu hadi binti kaajiriwa serikalini na ana cheo kizuri tuu.....

Sasa kizaizai kimeanza siku kadhaa mshikaji alipotangaza kutia nia ya kumuoa na kufunga ndoa huyo binti kwa kifupi kilichotokea ile familia upande wa binti imegoma kabisa binti yao mshikaji kuoa katika familia yao mbaya zaidi ile familia inadai mtoto wao hawawezi kukubali aolewe mtu ambaye sio msomi mbaya zaidi mshikaji hana kazi ila anaishi kwa kuunga ungaa na mishe mishe za mjini kielimu hakusoma sana japo aliishia form six........

Kwa kifupi ndo hayo hapa mtaani kwangu imekuwa kila mtu anazungumzia hiyo issue ya mshikaji kukataliwa na familia ya binti yao kuolewa na mshikaji kila mtu anashangaa kwanini kipindi anamsomesha binti wasingemuwekea kipingamiziii
 
Katiba yetu na vikao vyetu tumeshakataa kumsomesha girlfriend wako au mke mtarajiwa.

Kila siku watu wanauana na kujiua kisa kikiwa ni mambo kama haya!
 
Kuna baharia hapa mtaani kwangu alikuwa ana mahusiano ya muda mrefu na binti flani hivi ambaye anaishi mtaa wa tatu toka hapa tulipo ninapoishi Mimi na huyo baharia........

Kwa kifupi mahusiano ya huyu baharia na huyu binti ni ya muda mrefu kila mtu anafahamu na baharia anatambulika sana katika ile familia ya binti ambaye ana mahusiano nae na imefika hatua mshikaji alimsomesha binti hadi kumaliza chuo kikuu hadi binti kaajiriwa serikalini na ana cheo kizuri tuu.....

Sasa kizaizai kimeanza siku kadhaa mshikaji alipotangaza kutia nia ya kumuoa na kufunga ndoa huyo binti kwa kifupi kilichotokea ile familia upande wa binti imegoma kabisa binti yao mshikaji kuoa katika familia yao mbaya zaidi ile familia inadai mtoto wao hawawezi kukubali aolewe mtu ambaye sio msomi mbaya zaidi mshikaji hana kazi ila anaishi kwa kuunga ungaa na mishe mishe za mjini kielimu hakusoma sana japo aliishia form six........

Kwa kifupi ndo hayo hapa mtaani kwangu imekuwa kila mtu anazungumzia hiyo issue ya mshikaji kukataliwa na familia ya binti yao kuolewa na mshikaji kila mtu anashangaa kwanini kipindi anamsomesha binti wasingemuwekea kipingamiziii
Uliyepost ndo wewe umesomesha na umekataliwa acha kumsingizia mshikaji wakat ni wewe
 
Wahenga walimaliza na misemo yote japo huwa tunakaza Vichwa.

Msomeshe mwanamke kama unamsaidia ila si utegemee kitu chochote kwake.
 
Huyo tumemtoa kwenye chama cha mabaharia mwache apambane tu amekiuka kanuni za mabaharia
 
Kama hujaelewa ni kua huyo binti moyo wake haupo tena kwa jamaa. Ameshaona maisha mengine na amepata mawazo mengine

Kama yeye ndo alimsomesha binti tafsiri yake familia haikua na uwezo. Hii inampa binti sauti yakuamua anachotaka sio familia kumuamulia, na kwa bahati mbaya hajaamua kuolewa na jamaa.
 
Pole yake.
Kati ya vitu ninavyoviogopa ni mtu ku invest kitu hususani hela, au kuninunulia kitu chochote kwa mategemeo ya baadae labda tuwe mume na mke. Asubiri anioe ndipo aanze kunifanyia hivo vitu.

Sitaki laana maana inaweza ikafika wakati mtu haujisikii kuwa na mtu tena unashindwa kujitoa kwenye hayo mahusiano au ukimwacha ndio laana kama hizi. Ya wazazi kumkataa sio big issue kama mwanamke angekuwa anampenda wazazi mbona wangeelewa tuu.
 
Tulishasema mchumba hasomeshwi ukisomesha hakikisha anamaliza shule na mimba fasta

Apige mimba fasta kabla ya nia wakigoma wanatulia tu kusikilizia akijifungua tu nyingine acha walee wajukuu

Wakichoka watamwita tu
 
Kuna baharia hapa mtaani kwangu alikuwa ana mahusiano ya muda mrefu na binti flani hivi ambaye anaishi mtaa wa tatu toka hapa tulipo ninapoishi Mimi na huyo baharia........

Kwa kifupi mahusiano ya huyu baharia na huyu binti ni ya muda mrefu kila mtu anafahamu na baharia anatambulika sana katika ile familia ya binti ambaye ana mahusiano nae na imefika hatua mshikaji alimsomesha binti hadi kumaliza chuo kikuu hadi binti kaajiriwa serikalini na ana cheo kizuri tuu.....

Sasa kizaizai kimeanza siku kadhaa mshikaji alipotangaza kutia nia ya kumuoa na kufunga ndoa huyo binti kwa kifupi kilichotokea ile familia upande wa binti imegoma kabisa binti yao mshikaji kuoa katika familia yao mbaya zaidi ile familia inadai mtoto wao hawawezi kukubali aolewe mtu ambaye sio msomi mbaya zaidi mshikaji hana kazi ila anaishi kwa kuunga ungaa na mishe mishe za mjini kielimu hakusoma sana japo aliishia form six........

Kwa kifupi ndo hayo hapa mtaani kwangu imekuwa kila mtu anazungumzia hiyo issue ya mshikaji kukataliwa na familia ya binti yao kuolewa na mshikaji kila mtu anashangaa kwanini kipindi anamsomesha binti wasingemuwekea kipingamiziii
Pole yake.
Kati ya vitu ninavyoviogopa ni mtu ku invest kitu hususani hela, au kuninunulia kitu chochote kwa mategemeo ya baadae labda tuwe mume na mke. Asubiri anioe ndipo aanze kunifanyia hivo vitu.

Sitaki laana maana inaweza ikafika wakati mtu haujisikii kuwa na mtu tena unashindwa kujitoa kwenye hayo mahusiano au ukimwacha ndio laana kama hizi. Ya wazazi kumkataa sio big issue kama mwanamke angekuwa anampenda wazazi mbona wangeelewa tuu.
Kama hajakununulia magunia yamkaa ,

Anakuwahisha na kujimaliza

Muvi imekwisha
 
Back
Top Bottom