Nimeota nimeoa mke wa pili

Nimeota nimeoa mke wa pili

Vipi unamichepuko tena vibinti vidogo?, if yes jiandae huenda ukafumaniwa na kufungishwa ndoa Nyingine

Pia huenda umewaza kuhusu hilo au uliskia stories mchana, ndyo maana linajirudia ndotoni.usijali sana
 
Nimechekaaa inawezekana mlipiga story sna kuhusu kuoa kuoa mpaka umeziota, kila LA kher mkuu oa tu maisha yenyewe mafup hayaa
 
Salam Sana..

Ndoto hii imejirudia mara tatu usiku mmoja .

Msaada Kwa wajuzi wa ndoto.
Ndoto hii haimaanishi utaoa mke wa pili wala maana yake haihusiani kabisa na kuoa maana ishara za kuoa mke si hizi.
Ndoto hii ungeelezea namna ulivyooa ingerahisisha kazi kwa sehemu lakini zaidi ishara kubwa ni kuwa soon utaingia ktk migogoro fulani hasa ktk mali.
Hali hiyo inaweza kupelekea mgogoro hata kwa mke uliyenaye(na hapo ndo ndoto ilipoingilia ya kuja kama unaoa mke wa pili).

Omba Mungu na mshukuru Mungu pia maana kuota ndoto ni ufahari na tunu tulizopewa na Mungu. Usikurupuke kufanya maamzi mabovu kwa kujipatia tafsiri mbovu ya ndoto zako.
 
Dah kuna jamaa mkewe alikua anamuota anaongeza mke ijawa inajirudia mpaka akaogopa kuulizia kwa wajuzi akaambiwa kama ana mali atafilisika kama hana basi atajinyonga.

Kwa sasa jamaa kachoka sana na alikua vyema kifedha.
 
Ndoto za kufilisika zina ishara nyingi sana.
Waweza muona mtu anajitahidi kujisitiri kwa kila namna bado upande mwingine anabaki uchi ujue anaenda kufirisika ukijiona ni wewe ujue hali hiyo inaenda kukukuta.
Mungu hutujuza mambo haya ili tutafute njia za kumsogelea atuepushe na balaa hizo ama awe nasi tutoke salama.
Kama huoti ujue umefungwa ktk roho na ulifungwa ktk roho ujue hata mambo yako ya mwili hayawezi kwenda vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom