Wanaume wenye Ndoa

Wanaume wenye Ndoa

Superb2014

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
10,136
Reaction score
8,273
Poleni na majukumu wana JF

Naomba kujua kutoka kwa Wanaume walioko kwenye Ndoa na wana Nyumba ndogo, huwa ninasikia kwamba Mwanaume anapoamua kuoa ni kwamba huyo Mwanamke ndiyo chaguo lake sahihi ndiye aliyempenda katika kundi la Wanawake wengi, swali je Mwanaume mwenye Ndoa yake anaweza kuwa na upendo wa dhati kwa nyumba ndogo (Mchepuko)?
 
Kwa madhaifu ya kibinadamu inawezekana tu lakini kwa neema ya Mungu haiwezekani kabisa sababu hofu ya Mungu pekee inatosha kukutahadharisha utachoenda kutafuta nnje ni dhambi.
 
Wanasemaga tu kwamba mwanaume akichepuka hahamishi upendo eti unabaki kwa mke wake wakati kuna wanaume saa hizi ninavyoandika hapa wanaishi na wake zao kama mapambo tu ila mapenzi yao yote yapo kwa michepuko yao!!

Acheni kuchepuka ndugu zangu ni dhambi umesikia mdogo wangu Equation x??
 
ha ha ha ha tunapotoka nje haina maana ya kuwa tunakuja kuanzisha familia....bali tunakuja kupooza injini tu iliyomzidi bi mkubwa.
 
Upendo haugawanyiki.
kwenye michepuko, watu wanaendeshwa na tamaa ya mwili.

Kumbuka, Kila mtu ana tamaa, tofauti iko hapa;
Unachokipalilia zaidi ndio kinaota na kustawi.

Ukipalilia tamaa, hadi unarudi kaburini hutakaa ushibe
Ukipalilia kujuzuia 'Self control' utaweza kujitawala.

Mtu mwerevu ni yule anayejua kuna maisha zaidi ya tamaa ya Pombe, Wanawake na pesa.
Kwa maana ukishavipata vyote, utahamishia satisfaction yako kwenye aina na idadi ambavyo havikomi.

Hakuna mtu anayezaliwa na kilema cha tamaa, bali tunazipalilia na kuziabudu wenyewe
"Angalia sana unachokipa kipaumbele maana mwishowe hicho kitu ndio kinakutawala"

To every one of us; You are a product of your thoughts, blame us not but what you feed your mind.
I mean blame you for you.
 
Barikiwa sana mkuu na wewe Equation x soma hapa
 
Ikitokea umekuwa na mtoto nje....inabidi kutafuta namna ya busara ya kushughulikia hilo suala;lasivyo huyo wa nje anaweza kuchomoa betri familia ikaangamia
Yote hayo ya nini kwanini usitulie tu na mkeo??

Haujanijibu nimekuuliza kwahiyo mnajiona mko sahihi kufanya hivyo??
 
kutulia tunapenda,tatizo kichwa kidogo kinahitaji kila wakati na aliyepo ndani hawezi hiyo mikiki mikiki peke yake
 
Upendo haugawanyiki.
kwenye michepuko, watu wanaendeshwa na tamaa ya mwili.

Kumbuka, Kila mtu ana tamaa, tofauti iko hapa;
Unachokipalilia zaidi ndio kinaota na kustawi.

Ukipalilia tamaa, hadi unarudi kaburini hutakaa ushibe
Ukipalilia kujuzuia 'Self control' utaweza kujitawala.

Mtu mwerevu ni yule anayejua kuna maisha zaidi ya tamaa ya Pombe, Wanawake na pesa.
Kwa maana ukishavipata vyote, utahamishia satisfaction yako kwenye aina na idadi ambavyo havikomi.

Hakuna mtu anayezaliwa na kilema cha tamaa, bali tunazipalilia na kuziabudu wenyewe
"Angalia sana unachokipa kipaumbele maana mwishowe hicho kitu ndio kinakutawala"

To every one of us; You are a product of your thoughts, blame us not but what you feed your mind.
I mean blame you for you.
Umemaliza mkuu
 
Mama, kanyaga krach nazidiwa na uzito wa gia ama, niache uvuvi nikaisomee sheria!!! By kala jelemia voice in wizi mtupu
 
Back
Top Bottom