Natafuta jimama tufanye maisha anitafute kwa baruapepe asshizzle20@gmail.com kwa mawasiliano zaidi

scopic sniper

Member
Oct 18, 2018
39
40
Mimi no kijana nipo Geita MBogwe husika na kichwa cha Uzi hapo juu wasichana wanazingua nipo siriazi miawe na miaka kunzia 28 had 35 kabila lolote Dino yeyote cha msingi awe na akili pevu katika suala LA maisha
 
Kama mwanamke wa miaka 28 unamuita 'jimama' wewe una umri gani sasa!! Miaka 12 au?
 
Sasa weww kijana wa mbogwe unamtaka mwanamke mwenye akili pevu ilihali wewe ni zero brain.
Mimi no kijana nipo Geita MBogwe husika na kichwa cha Uzi hapo juu wasichana wanazingua nipo siriazi miawe na miaka kunzia 28 had 35 kabila lolote Dino yeyote cha msingi awe na akili pevu katika suala LA maisha
 
Marioo hahhahahahahahahahahahahahahahahahahahHahHha

Wanaume sikuhizi mmezidi kuyakimbia majukumu... Kuna haja ya viongozi wa dini kukaa na vijana wa kiume kuwapa nasaha za kiroho, jahazi linazama hili
 
Mimi no kijana nipo Geita MBogwe husika na kichwa cha Uzi hapo juu wasichana wanazingua nipo siriazi miawe na miaka kunzia 28 had 35 kabila lolote Dino yeyote cha msingi awe na akili pevu katika suala LA maisha
Hayo ni mawazo ya kimasikini
Yani ubongo wako umefukia kikomo cha kufikiria
 
Back
Top Bottom