Mapenzi kwako ni kitu gani?

Mapenzi kwako ni kitu gani?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,964
Reaction score
57,447
Mapenzi kwako ni nini?
Je,ni kuishi pamoja, kula pamoja, kuoana, kutoka wote out pamoja, kutembelea ndugu, kuzaliana, kufanya tendo la ndoa, kusaidia watu, kutumiana hela, kupigiana simu, kuandikiana barua, kuoga pamoja au ni kitu gani wakuu?
 
Kutoka out na kula pamoja aise hawa viumbe sijui wana nini ukizoea kulA nao ni kama addiction
 
Umepotea ndugu hayo yote siku hizi ni upepo tu MAPENZI NI PESA acha kupoteza muda tafuta pesa
 
Ndio maana unaitwa Equation x ni ili uwe unatupa maswali mengi kama haya
Mapenzi kwako ni nini?
Je,ni kuishi pamoja, kula pamoja, kuoana, kutoka wote out pamoja, kutembelea ndugu, kuzaliana, kufanya tendo la ndoa, kusaidia watu, kutumiana hela, kupigiana simu, kuandikiana barua, kuoga pamoja au ni kitu gani wakuu?
 
Mapenzi kwangu ni kusokotana in ( suzana Bernard voice) then kurara mbele full stop
 
I can't explain mkuu jinsi rahaa ninazo pata kwa mrembo kvant ananisahulisha kila kitu ni company nzuri

I just want to be with kvant for the rest of my life
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom