Kuhusu kisulisuli kuna somo moja

Nteko

Senior Member
Mar 16, 2019
108
99
Nimeona kisulisuli cha mama Rwakatare, ukweli kuna haja sasa wanawake nao waanze kutongoza wanaume, waombe kuoana.

Tatizo kubwa hapa, wadada au wanawake wa kiafrika hawapendi kuwa wazi kuonyesha hisia zao, kumbe wanapenda wasemeshwe, watongozwe au watanukiwe kuolewa.

Mama Rwakatare atoe somo kwa wanawake, waanze kuwaendea wanaume na kuwataka sio hilo suala la kisulusuli. Wanahitaji somo la kutongoza basi waachane na mila za kiafrika zimefanya mwanamke awe duni, anapenda mwanaume ila anashindwa kuanza kumtongoza dume. Sasa wanatumia mgongo wa kisulisuli aisee!

Msingi wa kuoana ni kupendana hivyo wanawake waanze kuwasimamisha wanaume na kutoa dukuduku zao, hapo wanawake wengi wataolewa. Hizi mila kuwa nikimwambia ataniona malaya zimepitwa na wakati.

Licha ya ukweli wa imani za dini, ni kuwa Rwakatare anawafundisha self confidence ili wanawake wawa-approach wanaume bila soni.

Wanawake tafuteni wanaume watongozeni akikataa achana naye utakuwa umetimiza wajibu, kuchagua unachopenda naye akikupenda utakuwa umepata. Hii ya kusubiri sio wakati wake.

Naona upepo utawaletea majanga, kutaka kutimiza haja za kuolewa bila chaguo. Hii hatari.

Ndoa ni maridhiano ya watu wawili kwa kufunua upendo wao kwa kila mmoja.
 
Kunatatizo katika,jamii,wanawake bado wanasoni za kutongoza,hii ya kisulisuli ni saikoloji ya mama Lwakatale ili wanze kujitokeza waache aibu
 
Nimeona kisulisuli cha mama Rwakatare, ukweli kuna haja sasa wanawake nao waanze kutongoza wanaume, waombe kuoana.

Tatizo kubwa hapa, wadada au wanawake wa kiafrika hawapendi kuwa wazi kuonyesha hisia zao, kumbe wanapenda wasemeshwe, watongozwe au watanukiwe kuolewa.

Mama Rwakatare atoe somo kwa wanawake, waanze kuwaendea wanaume na kuwataka sio hilo suala la kisulusuli. Wanahitaji somo la kutongoza basi waachane na mila za kiafrika zimefanya mwanamke awe duni, anapenda mwanaume ila anashindwa kuanza kumtongoza dume. Sasa wanatumia mgongo wa kisulisuli aisee!

Msingi wa kuoana ni kupendana hivyo wanawake waanze kuwasimamisha wanaume na kutoa dukuduku zao, hapo wanawake wengi wataolewa. Hizi mila kuwa nikimwambia ataniona malaya zimepitwa na wakati.

Licha ya ukweli wa imani za dini, ni kuwa Rwakatare anawafundisha self confidence ili wanawake wawa-approach wanaume bila soni.

Wanawake tafuteni wanaume watongozeni akikataa achana naye utakuwa umetimiza wajibu, kuchagua unachopenda naye akikupenda utakuwa umepata. Hii ya kusubiri sio wakati wake.

Naona upepo utawaletea majanga, kutaka kutimiza haja za kuolewa bila chaguo. Hii hatari.

Ndoa ni maridhiano ya watu wawili kwa kufunua upendo wao kwa kila mmoja.
Umeongea ukweli kabisa. Ila kwa huku kwetu Tz au Africa ni ngumu sana.

Kwa wenzetu ni jambo jepesi sana, naongea kwa uzoefu. Maana yamenitokea mara mbili.
 
Mwanaume..... mwanamke hata akupende vipi ni ngumu kukwambia kwa maneno.... atajitahidi kukuonyesha kwa ishara ili wewe ujiongeze ndo umfuate..... ukiona jitu jike linakwambia linakupenda hata soni halina na macho yake makavu kama dagaa aliyetiwa ndimu na pilipili, SHTUKAAA..... hupendwi wala nini, kuna kitu anakitaka au amefuata tu hela, huyo ni mfanyabiashara tu kama Mangi mwenye duka hapo mtaani kwenu.

Ila mimi mwanamke mwenye tako akinitongoza kwa kweli siwezi kuwa na ujasiri wa kumkatalia...... hata hayo niliyoyasema hapo juu nitaona ni uongo tu
 
😂😂😂😂😂😂😂 mtoto mwenye shepu ya kisulisuli ngumu sana kuachwa salama na baharia
 
Umeongea ukweli kabisa. Ila kwa huku kwetu Tz au Africa ni ngumu sana.

Kwa wenzetu ni jambo jepesi sana, naongea kwa uzoefu. Maana yamenitokea mara mbili.
Nilikuhitaji mpaka nikatoa na post kuhusu wewe siulikataa ila nashukuru Mungu sina hamu nawewe tena upepo wakisuli suli umeau utatenda jambo huku mnajidai mnayo chupi ya chuma
 
Wanawake wakianza kututongoza mbona itakuwa patashika nguo kuchanika 🤣🤣🤣!
 
Hao wanataka Watu wenye pesa ila kusema hakuna wa kuwaoa sio kweli.Pia siku hizi kuna simu na social network so mtongozano ni rahisi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom