Sex doesn't prove love

Sex doesn't prove love

Alvin A.

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2016
Posts
2,865
Reaction score
3,640
Sex sio mapenzi. Na mapenzi sio sex. Unaweza ukawa unafanya nae sex lakini akawa hana mapenzi na wewe. Kuwa na busara. Mtu anaweza akakuchukia na asikupende lakini akafanya sex na wewe.

Ni kujidanganya wewe mwenyewe kudhani kwamba kumpa sex kutamfanya akupende zaidi. Mapenzi ya kweli hayana nafasi katika kulazimisha sex. Mtu ambaye hakupendi huwezi kumlazimisha akupende kwa kumpa sex.

Kama akikwambia umpe sex ili ku-prove kwamba unampenda, asilimia kubwa mtu huyo anakutumia. Kama yupo kwako kwa ajili ya namna unavyompa sex vizuri, basi aliye vizuri zaidi atamchukua pia. Ni kama vile mwanamke aliye na mwanaume kwa ajili ya pesa zake!

Kujiweka katika nafasi ya kuwa mtumwa wake wa sex ni upumbavu. Anayekupenda kweli hatatumia udhaifu wa wewe kumpenda kuku-compromise kwa kutumia sex.

Na kama uhusiano wako umejengwa katika msingi wa sex basi ni vema zaidi ukafanya upembuzi yakinifu juu ya mahusiano hayo na kuyajenga katika misingi sahihi!

Na kama utafunga nae ndoa kwa misingi ya good sex, hii ni hatari kwa ndoa yako kwa sababu itafika kipindi hutaweza kumridhisha kama awali.

Funga nae ndoa kwa sababu amekupenda, amekuheshimu, anahisia na wewe, bond yenu ni kali na anataka ku-spend the REST OF HIS LIFE WITH YOU.
#reallove
#be_sweet
#SeeYouAtTheTop [emoji91][emoji91][emoji91]
#have_A_nice_weekend_guys
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
FB_IMG_1571032267651.jpeg
 
Attachments

  • IMG-20191007-WA0030.jpeg
    IMG-20191007-WA0030.jpeg
    59.6 KB · Views: 13
  • IMG-20191007-WA0001.jpeg
    IMG-20191007-WA0001.jpeg
    70.8 KB · Views: 14
  • IMG-20191009-WA0001.jpeg
    IMG-20191009-WA0001.jpeg
    65 KB · Views: 16
Kwa nini utangulize kumhonga mapenzi kama unaona hana mwelekeo?? Women always want to play victims... Kama huoni ana mwelekeo.... Pita kule enda zako
Sex sio Mapenzi. Na mapenzi sio Sex. Unaweza ukawa unafanya nae Sex lakini akawa hana mapenzi na wewe. Kuwa na Busara. Mtu anaweza akakuchukia na asikupende lakini akafanya sex na wewe.

Ni kujidanganya wewe mwenyewe kudhani kwamba kumpa Sex kutamfanya akupende zaidi. Mapenzi ya kweli hayana nafasi katika kulazimisha sex. Mtu ambaye hakupendi huwezi kumlazimisha akupende kwa kumpa sex.

Kama akikwambia umpe Sex ili ku-prove kwamba unampenda, asilimia kubwa mtu huyo anakutumia. Kama yupo kwako kwa ajili ya namna unavyompa Sex vizuri, basi aliye vizuri zaidi atamchukua pia. Ni kama vile mwanamke aliye na Mwanaume kwa ajili ya pesa zake!

Kujiweka katika nafasi ya kuwa mtumwa wake wa sex ni upumbavu. Anayekupenda kweli hatatumia udhaifu wa wewe kumpenda kuku-compromise kwa kutumia sex.

Na kama Uhusiano wako umejengwa katika msingi wa Sex basi ni vema zaidi ukafanya upembuzi yakinifu juu ya mahusiano hayo na kuyajenga katika misingi sahihi!

Na kama utafunga nae Ndoa kwa misingi ya good sex, hii ni hatari kwa ndoa yako kwa sababu itafika kipindi hutaweza kumridhisha kama awali.

Funga nae ndoa kwa sababu amekupenda, amekuheshimu, anahisia na wewe, bond yenu ni kali na anataka ku-spend the REST OF HIS LIFE WITH YOU.
#reallove
#be_sweet
#SeeYouAtTheTop [emoji91][emoji91][emoji91]
#have_A_nice_weekend_guys
[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321]
View attachment 1237045
 
ILI nione unanipenda ni lazima unipe kile kitu ambacho

ukinipa unakua hauna kingine mpk utafute tena

sasa unanipa K halafu bado imegandiamo mwilini mwako

ndio umenipa au umeniambia ONJA???

WE nipe kitu ya kushika kwa mkono,sio unipe kitu haitoki mwilini mwako

Hata nije na majembe na ma greda.
 
mtoa maada unahatar kweli kweli.....maana hata sijakupata fresh unataka kutuonya nn!
Hivi tujiulize kwanza kwann mtu unaingia kwenye mahusiano ya kimapenz?? hapa mm najua asilimia kubwa watu wanaingia kwa sababu ya kupata nafasi rahisi ya kugegedeana lakini pia uzuri wa mtu au tabia vinamfanya MTU atamani kuwa naye karibu ili aweze kummiliki au kufanya mambo ambayo kwa mtu wa kawaida hawezi kufanya!!

hii sentesi ya mapenzi bila sex labda kwa wadada ndo wanaweza lakini kwa sisi wanaume sidhani kama kuna mwanaume anaweza akakaa na mpenzi wake karibu asimchakachue yaani mnalala pamoja mnaoga pamoja halafu hata hisia huna, labda utakuwa shoga!! mwanamke anaweza akaa kwenye mahusiano na wala asifikirie sana sex unless uanze kumchokoza na asilimia Kubwa wapo hivi...

Mwanaume ili aaajikikishie kuwa kweli anakumiliki lazima uvue chupi kwanza then ndo mengine yatafuata zaidi ya hapo mwanamke akileta ubishi basi kuchepuka ndo mpango mzima au kuachana naye kabisa..hii ndo uhalisia wenyewe.

Na mwanaume ili akukubali vizur lazima hiyo sex yenyewe uwe mtundu sio unakuwa kama sanamu au ndo Yale nimezoea kifo cha mende tu khaaa!! mwanamke lazima ushughulike na ww ukalie mchuma uzungushe kiuno mpaka mbo* iwe nyekunduuuuu!! mpaka mwanaume anasema eeeeh!!! hapa ndo penyewe...

kwa Leo inatoshaaa
 
We jamaa bhana sio lazima ulale na kuoga na mpenzi wako mnakutana maeneo public ili kutoamsha tamaa za mwili,Remember sex ipo kichwani yaani ubongo wako unavyoutune ndio unavyokupelekesha. Mi naweza kukaa na rafiki wakike na nisimtafune kabisa,
ila K-VANT akinitembelea kichwa cha chini kinashika usukani 😀 😀 😀 you know what i mean
 
Back
Top Bottom