Hatimaye niliochepuka nao wote wana vitambi, kinachoniumiza kichwa kwa sasa ni hao watakaozaliwa wanahitaji kula vizuri, afya bora, elimu nzuri n.k ama kweli ukubwa ni majukumu
Kijana mwenzenu nimekwama nahitaji ushauri wenu, Mimi ni mkristo ila nimetokea kumpenda binti mmoja wa kiislam. Je, kuna madhara yoyote naweza kuyapata endapo nitaamua kuwa na huyu binti?
Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa moja ya mambo muhimu zaidi katika malezi ni fursa ya watu wazima (wazazi au walezi) kuzungumza na kuwasikiliza watoto. Kupitia mwingiliano huu wa kila siku...
Tumeshaimba sana huu wimbo, tatizo lenu especially nyie wavulana hamsikii..
Narudia kuwakumbusha mchumba hasomeshwi! Au ukiamua kumsomesha basi ni sadaka kwa Mungu wako!!
Usijipe guarantee kwa...
Kabla hatujafika mbali naomba turudie kusoma kichwa cha Habari .
Kimeandikwa "Pesa zina tupa Wanawake Wepesi "Hakisemi ni Dhambi kuwa na pesa au Kutafuta pesa.
Pesa ni Nguvu . Na nguvu ni kitu...
Amka kumekucha,,[emoji364][emoji364]
Leo nakupa hii nondo[emoji1007][emoji1009]
Sio mbaya kumpenda mtu. Mbaya ni kuendelea kumganda mtu ambae hisia zake hazipo kwako tena.
Hata siku moja...
Kama upo kwenye uhusiano wa mapenzi na mwanamke ambaye ana matatizo ya kutofika kileleni au hajawahi kufika mshindo na kuishia kusikia kwa mashoga zake kuwa mapenzi matamu, bila shaka akikueleza...
Hebu vuta picha.
Yule demu / mke wako kipenzi, unamfuma live anasuguliwa na kukamuliwa na jidume flani hivi. Afu unamsikia kabisa wakati anakojoa anakutukana kabisa kwamba hujui kumfikisha...
Kwanza nawashukuru wanajf kwa mawazo yao mazuri yakujenga,kufurahisha ukiwa na stress zako zinaisha lkn pia sitakuwa na fadhila nisipowashukuru wenyekejeli kwa comment zao maana nao ni sehemu ya...
Wakuu hili ni jambo la msingi na lenye baraka.
Kumthamini mkeo/mumeo kuliko mtu mwingine yeyote!
Watu wengi huwa wanadharau hili na kuwapa wake/waume zako second priority na ile ya kwanza ikawa...
Nilipofika nyumbani usiku ule, mke wangu aliponitayarishia chakula, nilimshika mkono na kumwambia, Kuna kitu nataka nikwambie.
Mke wangu alikaa chini na kula chakula kimya akiwa tayari...
Mimi mtu akiniambia i love you au nakupenda huwa najibu; "kupenda ni kitu kizuri" au najibu "ni kawaida kwa binadamu ambae yupo normal kupenda binadamu wenzake" au mara nyingine najibu "Mungu...
Unajua dar kuna mambo ya ajabu sana asillimia 98 ya wakesha gym wa dar aka watengeneza six packs ni mario kazi yao ni kupenda kulelewa tu na kuomba hela
Badala ya kufanya gym kwa afya na mazoezi...
Hii stori nimeikuta mahali. Sijui kama chanzo chake ni huku JF ila nadhani inafaa kwa mafundisho. Mafundisho ni kuwa "Mwanamme akichepuka, dhambi inakuwa nje ya mwili wake na mpenzi/mke anaweza...
Kumbuka mlivyokutana, mkatongozana mkaelewana, mkanjunju weee kwa kila style kila saa mkutanapo.
Mkapostiana kwenye mitandao wee kila upande wa dunia. Ooh you're my errything bey...Me and you...
Hua kuna wapenzi huenda mliachana miaka mingi iliyopita kwa wema au mabaya.Je ni vema kurudiana na mpenzi wa zamani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ananikumbusha mbali sana.miaka ile wananiita GuDume Gwa Mbegu aka Kamchape. Ilikuwa yaani nikiona demu mkali udenda unanidondoka hivi....hata nikiambiwa ana ngoma naenda kumfuatilia huku moyoni...
Kama huna uwezo Wa kuoa bora uache!
Nanyi wanawake tambueni ya kwamba siyo kila mwanaume anayekutongoza ana uwezo wa kuoa!
Ile kauli ya kila mwanaume anayekusemesha unamuuliza utanioa au...