Utachukua hatua gani siku ukimfumania mpenzi wako live anafumuliwa na mwanaume mwenzio?

mzee wa kasumba

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
1,439
2,921
Hebu vuta picha.

Yule demu / mke wako kipenzi, unamfuma live anasuguliwa na kukamuliwa na jidume flani hivi. Afu unamsikia kabisa wakati anakojoa anakutukana kabisa kwamba hujui kumfikisha kunako.

Hebu pata picha,
Hapo ndo uliomba mechi siku hiyo akakupa udhuru, kumbe anakwenda kwa jamaa..!

MIMI
nawahi kutafuta mkaa kabla wauza mkaa hawajafunga
 
Wote wawili!
b2c4a9d7adf9c5a849733a4c8e630122.jpeg
inawahusu!!
 
Ilishanitokea, nikawasalimu nkaenda, mpaka leo wanajiulizaga kwanini sikufanya wala kusema lolote.

Mwanaume anahitaji eneo/sehemu ili kuchepuka. Mwanamke anahitaji sababu ili kuchepuka.

Akishaanza kuchepuka atakuwa na sababu zake, mojawapo ya sababu hizo ni wewe (mwanaume), so hata ufanyaje hatoweza tulia na wewe pekee milele. Kama hivyo imeshakuwa basi mwache aendelee.

Wewe jiongeze fanya yako, ishi maisha
 
1. Asiporudi kwao kiroho safi

Basi,

2. Ni siku ambayo nitatafutwa na Polisi ili nikahukumiwe kifungo cha hovyo.

Au

3. Nitamfanya kilema kabisa either wa miguu au mikono.

Ova
 
Demu wako alikuwa demu wa mtu kabla kuwa nawe, hivyo si ajabu akaja kuwa demu wa mwingine badala na baada yako...

Otherwise badilisha swali lako liwe mke badala ya demu...
 
Hebu vuta picha.

Yule demu / mke wako kipenzi, unamfuma live anasuguliwa na kukamuliwa na jidume flani hivi. Afu unamsikia kabisa wakati anakojoa anakutukana kabisa kwamba hujui kumfikisha kunako.

Hebu pata picha,
Hapo ndo uliomba mechi siku hiyo akakupa udhuru, kumbe anakwenda kwa jamaa..!

MIMI
nawahi kutafuta mkaa kabla wauza mkaa hawajafunga
Hadi kufikia hiyo hatua ina maana hana commitment kwako, heshima wala upendo.
Mkuu huna haja ya kumfanya lolote huyo mwanamke hapo hajabakwa hayo ni maamuzi yake tena akiwa na akili timamu kabisa. Hata huyo jamaa usimtuhumu kabisa
 
Inauma, kweli inauma.
Unaweza sema nitawashoot risasi,
Unaweza sema nitawachoma visu,
Yote yanaweza kukujia.

My braza, kama huwezi kumuacha huyo mwanamke, usipige kelele.
Chukua mkeo rudi nyumbani kimya kimya.

Ikiwa unauwezo wa kuachana nae, fikiria wewe umemsaliti kimyakimya mara ngapi?
Kama inafika angalau mara moja,
Mwambie afungashe kila kilicho chake asepe kwa amani.
Kama haifiki hata mara moja, hakikisha unawaacha na vilema vya kudumu wote wawili.
 
Back
Top Bottom