kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,394
- 16,390
Wakuu hili ni jambo la msingi na lenye baraka.
Kumthamini mkeo/mumeo kuliko mtu mwingine yeyote!
Watu wengi huwa wanadharau hili na kuwapa wake/waume zako second priority na ile ya kwanza ikawa kwa mama au watoto.
.
Kweli hapo utakuwa umechemsha...
Wazazi au Watoto wananafasi kubwa sana kwenye maisha yetu.
Ila mke/mume nafasi yake ni kubwa zaidi.
Sio ndugu yako huyo, ni sehemu ya mwili wako kabisa.
Swali, wewe kwako ninani unampa nafasi ya juu zaidi?
1. Mke/Mume
2. Wazazi
3. Watoto...
Karibuni tujadili kidogo hili.