Tuwasaidie wanaume wa kizazi hiki

Tuwasaidie wanaume wa kizazi hiki

Mimosa

Member
Joined
Apr 5, 2014
Posts
71
Reaction score
31
Kwanza nawashukuru wanajf kwa mawazo yao mazuri yakujenga,kufurahisha ukiwa na stress zako zinaisha lkn pia sitakuwa na fadhila nisipowashukuru wenyekejeli kwa comment zao maana nao ni sehemu ya challenge ktk life stile zetu
Naomba wanajf toeni mawazo iwe msaada wanaume wengi leo wanshindwa kuhimili tendo la ndoa nakupelekea ndoa kuvunjika na hata mahusiano kuvunjika nini chanzi na nini tiba, nasema hili nimefanyia reseach kwa uhalisia na kuna ndoa nyingi zimeletwa kwangu kutoa mawazo pia nina magroup wanawake wanalalamika imepelekea kujiuliza bila majibu naomba mawazo tuwanusuru watoto wa kiume kwa kizazi kijacho maana hiki sasa kimekwisha imebaki kwakuboost tu nawakilisha
 
Shida ipo kwa wanawake wenyewe maana mnaingia kwenye sho ye kalala tu hata kutikisika kidogo hakuna mwisho unajikuta ham ya kuendelea inaisha
 
Sawa lkn wako wanaojishughulisha lkn bado wanaume wanafeli
 
Haya mama, tupe sasa mapendekezo yako ili tuyafanyie kazi badala ya kutushushia tu gunia la lawama. Hata hivyo nyinyi wanawake kulalamika ni jadi yenu! Hatujawahi kuwaelewa mnachokitaka kutoka kwetu.
 
Haya mama, tupe sasa mapendekezo yako ili tuyafanyie kazi badala ya kutushushia tu gunia la lawama. Hata hivyo nyinyi wanawake kulalamika ni jadi yenu! Hatujawahi kuwaelewa mnachokitaka kutoka kwetu.
Punguzeni kula vyakula vya wanga na mafuta mengi,mwanaume anakula chips,nyama choma kama fasion, unatakiwa kwa week mbili unaacha kula hivo kazana mboga za majani maziwa karanga na matunda viwe daily mezani, na mazoez ya viungo kwa wingi

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom