Usilazimishe mapenzi

Alvin A.

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
2,868
3,627
Amka kumekucha,,

Leo nakupa hii nondo

Sio mbaya kumpenda mtu. Mbaya ni kuendelea kumganda mtu ambae hisia zake hazipo kwako tena.

Hata siku moja katika mahusiano yako usipoteze hisia zako kwa mtu ambae hazithamini. Hii ni kwa sababu atakayeishia kupata shida ni wewe. Na hata siku moja hatakuonea huruma maana kadiri unavyofanya juhudi za kuonyesha hisia zako, yeye huona kama unamfanyia karaha.

IMG-20191025-WA0017.jpeg
FB_IMG_1571050540049.jpeg
 
True,
Pia mtoa mada kacheki na hii series ya kizungu inaitwa YOU 2019, ina episode chache tu, utajifunza kiundani zaidi.
 
Amka kumekucha,,

Leo nakula hii nondo

Sio mbaya kumpenda mtu. Mbaya ni kuendelea kumganda mtu ambae hisia zake hazipo kwako tena.

Hata siku moja katika mahusiano yako usipoteze hisia zako kwa mtu ambae hazithamini. Hii ni kwa sababu atakayeishia kupata shida ni wewe. Na hata siku moja hatakuonea huruma maana kadiri unavyofanya juhudi za kuonyesha hisia zako, yeye huona kama unamfanyia karaha.

View attachment 1246826View attachment 1246827
Uko sahihi sana kwenye hili,watu wengi wamelizwa kwenye mapenzi kwa kulazimisha kuwapenda watu wasio wapenda au watu wasio sahihi,unakuta mtu anampenda mtu kisa tu ni mzuri sana au ana pesa sana au ana kitu flani,wakati kiuhalisia hao watu hawawapendi wao kivile,na hii ni kwa wote wanawake na wanaume wamejikuta katika wakati mgumu sana kwenye maisha yao ya mahusiano na hata wengine kufikia kujitoa uhai...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom