Habari za leo natumai wote ni wazima, poleni na majukumu. Jaman ndugu zangu yamenifika hapa na hii ni baada ya kuwa na mahusiano na mfanyakazi mwenzangu ambae tupo wote pamoja katika taasisi...
Narudia upya kwa uelewa zaidi..natafuta mme aliyetayari kupendwa kwa dhati ambaye muaminifu na yupo tayari kwa mapenzi ya kweli .Nina umri wa miaka 26..0682942959
kumekua na usemi mtoto wakwanza huwa ana piganiwa sana na shetani nashidwaga kuelewa na pia wanakua wakisumbuliwa sana na magonjwa wakiwa utotoni napia wanakua ndo kilakitu kibaya wanakua wakwanza...
Watu wengi hufurahia kuvuka mwaka mmoja kwenda mwaka mwingine.Leo ni mwezi wa kumi na umebaki mwezi mmoja kuingia mwezi Decemba wenye sherehe nyingi na vionjo vya kimahusiano.Ili ufurahie mwezi...
Kwema wakubwa?
Kuna hii ishu huwa inanishangaza sana, ni kuhusu wanawake wa kitanzania kutopenda kula msosi uliolala{kiporo}, hii ishu nimekua nikiiobserve toka kipindi nikiwa naishi nyumbani...
Alinikuta sina kazi nipo nipo tu nikamtongoza akanikubalia akaniambia ananipenda hivyo hivyo,mapenzi yakaanza akaenda chuo akanipatia kiasi cha pesa kutoka kwenye boom lake.
Nikamwambia poa nipe...
Salaam wanajamii,
Nabisha hodi hapa jukwaani baada ya kua guest reader wa mda mrefu wa jf na kufuatia safari yangu ya kumsaka malkia wa nafsi yangu naona ni muhimu kumsaka popote alipo. Sio...
Habarini wana JF?
Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka.
Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe:
1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe...
Kwa wale ambao mko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 tunaomba uzoefu wenu. Kuna hili tatizo la kunyimana tendo la ndoa, ambapo mwanaume au mwanamke anakuwa hana hisia na mume/mke aliyenaye kwa kipindi...
kwa mda wote ambao likuwa kifungoni niutumia kwenda kwa watu mbali mbali walioisoma biblia na kuilewa lakini pamoja na hivyo hata mimi niliongeza mda wa kujisomea ili niupate ukweli kuhusu dhana...
Usiombe likukute..!
Leo jioni nimetoka katika shughuli zangu nikarudi home, nikawa napata saladi ya matunda huku nikitafakari mihangaiko yangu ya siku nzima.
Baada ya kama dakika 25 hivi...
Naishi na binti mmoja hivi alishawahi kuwa na mahusiano sasa lakini cha kushangaza kila nikimuuliza ilikuaje mpaka wakaachana na mshkaji hataki kuniambia.
Kwa upande wangu sijapenda na isitoshe...
Watu wengi wamekuwa wakifikiri kwamba upweke ni kuwa wao peke yao. Na hivyo ili kuondokana na upweke wamekuwa wakikazana kuhakikisha wanazungukwa na watu wengi.
Licha ya kuzungukwa na watu hao...
usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana....
alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga...
Demu nlihangaika naye kinyama kabla ya kumpata.shida kubwa alikuwa na mtu wake nami nikawa nataka angalau basi name nimchore tattoo.
Akajichanganya akaja kwangu kucheck movie maana si haba kwangu...
Katika mapenzi suala la kuhonga aliepukiki, na mara nyingi wanawake ndio upenda zaidi kuhongwa ili aweze kumtimizia muhongaji mahitaji yake. Kwa utafiti mdogo nilioufanya...nimekuja kugundua...
Dearest (Name):
It is very important for me to express to you how much you really mean to me. I wish I could do this in person while holding you in my arms and gazing into your eyes...
Habari zenu wakuu,
Bila kuwachosa.
SMS niliyopokea nii hii hapa chini, then maelezo ya mahusiano yetu yatafuata.
" Mambo Powercable, kuna jambo nahitaji ulijue, ni kweli kila kitu kimebadilika...