Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara nyingi nimekutana na kuishi karibu na wazungu yani white people from western world Hawa wazungu hasa wanawake wanakua na maumbo mazuri kwa maana wana tumatako tudogo tudogo na vitumbo...
1 Reactions
44 Replies
12K Views
Kichwa kikiwa kinauma,just say, I am sorry my darling, it is my fault. Nitapona mara moja. Nikiwa na stress, just say I am very sorry it's my fault. Nikiunguza chakula, au chumvi ikizidi, wewe...
4 Reactions
91 Replies
7K Views
Habari za leo wakuu Natumaini ni furaha ya kila mzazi au mlezi mwenye nia njema kumuona mtoto anakua katika kile anachokiamini. Kwa nchi nyingi za kiafrika na Tanzania ikiwemo kumekuwa na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majukumu wakuu? Kiukweli mademu wakimya sana wana boa mno.. Una kuta demu mzurii kabisa na elimu yake lakini yupo kama bubu hawezi hata kuchangia maada yoyote katika vikao vya ukoo au...
32 Reactions
271 Replies
26K Views
Wakuu i hope mko poa, Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa. Kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi...
6 Reactions
63 Replies
6K Views
Mwanaume ni nguvu, ni muhimili, ni kiongozi, ni mtawala, ni chanzo, ni ukuu fulan hivi, hata uhai duniani ulianza kwa mwanaume, Mungu alijua umuhimu wa kumuanzisha mwanaume katika Dunia hii,hebu...
23 Reactions
67 Replies
6K Views
Habarini jamani mwenzenu nina mpenzi wangu ninampenda sana ila sasa hivi nashindwa kumwelewa kwani amebadilika sana upande wa mawasiliano amekuwa hanitafuti mara nyingi nikimtafuta hapokei simu...
2 Reactions
53 Replies
8K Views
Za usiku jamanii? Ujue waTz tunapenda kuiga sana umagharibi. Miaka yetu ile hizi habari za sherehe za birthday hazikuwepo na kama zilikuwepo ni kwa uchache sana. Siku hizi zinakuja kwa mtindo...
9 Reactions
39 Replies
6K Views
Kuna siku moja nilikuwa nafanya matembezi ya miguu na binti yangu,tukapita mitaa fulani.....kwa mbele kuna wamama walikuwa wamekaa barazani,sasa kuna mmama mmoja akaamua kujiachia ili tunaokuja...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wana MMU, Kuna wakati unafika mtu unakua umeumizwa kihisia sana,umeachwa au umesalitiwa na mpenzi wako na kujikuta unaona kama dunia si mahala salama pa kuishi, unapoteza ladha ya maisha...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Pesa sina Demu sina Biashara sina Marafiki wa kweli sina Wanafiki ndio wengi Maadui ni wengi Wapiga mizinga wengi Siku zinavyokwenda nazidi kuzeeka Kwa hali hii nitatoboa kweli?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wanawake wengi wanapenda sana kuolewa pia wanaume wanapenda sana kuoa ni heshima kwa hao waliooana kuwa sasa wamekuwa wakubwa na wana majukumu ila bahati mbaya au nzuri, mwanaume ndio mwenye...
9 Reactions
150 Replies
14K Views
Habari wapendwa? Kama kichwa cha habari kinavyo sema mume anapatikana hapa kama ulikuwa unahitaji mume basi hapa umepata. Umri wangu ni miaka 25 Kiukweli nimekuwa nikitafuta mke mwanye vigezo...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
o
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Habarini wandugu. Kuna tabia inazidi kushika kasi katika jamii zetu na usipokuwa mwangalifu utajikuta unaumizwa kila kukicha. Ingawa imeshamiri sana kwenye mahusiano ya kimapenzi (wengine huita...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kila demu ninaekutana nae, hawaendi zaidi ya round 2. Wengine hata round ya 1 wanashindwa. Wengine ukipiga leo, kesho hawezi tena.... Na kigezo kikubwa kwangu kwa mwanamke ni yule ambae...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi nilikuwa najiulliza nilipokuwa bado sijafikili kufanya mahusiano. Kuwa nikifikia wakati wa utu uzima nifanye lipi (niweke wazi mshahara wote kwa mke au nimfiche ) wakuu toweni mawazo yenu...
0 Reactions
226 Replies
26K Views
Hello everyone. My name is Grace am 26 years old working as a secondary school teacher. I am looking for a man to chat with coz I feel so lonely after my boyfriend left to another country and he...
19 Reactions
145 Replies
22K Views
Holla, I know its Monday yes I know its morning yes I couldn't resist love forces to express what fills my soul, heart, mind... Am beginning beginning to fall, to fall in love.. Babe I know...
2 Reactions
78 Replies
5K Views
Post za humu jamvini zimeonesha kufagilia black beauty kuliko weupe. Hebu tupe uzoefu wako.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…