Kwa hali hii nitatoboa kweli?

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,271
40,087
  • Pesa sina
  • Demu sina
  • Biashara sina
  • Marafiki wa kweli sina
  • Wanafiki ndio wengi
  • Maadui ni wengi
  • Wapiga mizinga wengi
  • Siku zinavyokwenda nazidi kuzeeka

Kwa hali hii nitatoboa kweli?
 
maadui na wanafki wanatokea wapi wakati huna kipya? alafu usijaze sired humu za kutungatunga utzani umepata smartphon jana.
ha ha ha ha mkuu thread (mada) ndio zinawafanya watu kuwa kazini na kupata mishahara mikubwa.Bila mada mtandao utakuwa dormant,no more sales and no more jobs.Kiuhalisia anayetoa mada ndio anatakiwa alipwe.
 
  • Pesa sina
  • Demu sina
  • Biashara sina
  • Marafiki wa kweli sina
  • Wanafiki ndio wengi
  • Maadui ni wengi
  • Wapiga mizinga wengi
  • Siku zinavyokwenda nazidi kuzeeka

Kwa hali hii nitatoboa kweli?
We ata ungekua na
-kazi
-marafiki wengi
-demu
-marafiki wa kweli
Bado usingetoboa maana una akili chache sana
 
  • Biashara sina
  • Pesa sina
  • Demu sina
Biashara huna Pesa unapataje? Pesa huna Demu unapataje?

  • Marafiki wa kweli sina
  • Wanafiki ndio wengi
Hapa kaa mwenyewe
  • Maadui ni wengi
Maadui unapata wapi akati Pesa huna Biashara huna?

  • Wapiga mizinga wengi
I don't need to ask wanatoka wapi hapa.

  • Siku zinavyokwenda nazidi kuzeeka
Kwa hali hii nitatoboa kweli?
Hii ni kwetu sote, kutoboa is inevitable ila wengine watatoboa katika hali ngumu sana
 
ha ha ha ha sawa mkuu
 
  • Pesa sina
  • Demu sina
  • Biashara sina
  • Marafiki wa kweli sina
  • Wanafiki ndio wengi
  • Maadui ni wengi
  • Wapiga mizinga wengi
  • Siku zinavyokwenda nazidi kuzeeka

Kwa hali hii nitatoboa kweli?
Usitegemee utajiri kukutafutaa bro.... Inakubidi uamke ukautafue
 
Biashara huna Pesa unapataje? Pesa huna Demu unapataje?

Hapa kaa mwenyewe

Maadui unapata wapi akati Pesa huna Biashara huna?

I don't need to ask wanatoka wapi hapa.

Hii ni kwetu sote, kutoboa is inevitable ila wengine watatoboa katika hali ngumu sana
Hey... unawezaje kureply kwa kutenganisha vipengele?
 
Back
Top Bottom