Wanaume, jifunzeni kusema I am sorry hata kama hujakosea

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,684
8,832
Kichwa kikiwa kinauma,just say, I am sorry my darling, it is my fault. Nitapona mara moja.
Nikiwa na stress, just say I am very sorry it's my fault.
Nikiunguza chakula, au chumvi ikizidi, wewe niombe msamaha.
Ndoa itakuwa tamu Sana.
Ntakupenda milele

View attachment 1266957
IMG-20191119-WA0038.jpg
 
Kichwa kikiwa kinauma,just say, I am sorry my darling, it is my fault. Nitapona mara moja.
Nikiwa na stress, just say I am very sorry it's my fault.
Nikiunguza chakula, au chumvi ikizidi, wewe niombe msamaha.
Ndoa itakuwa tamu Sana.
Ntakupenda milele
Nazjaz, hiyo ni ngumu sana hasa kwangu, utakuwa ni uzwazwa eti niseme sorry hata kama sijakosea !!, hivi nyie wanawake mnasemaga sorry ?.
 
Kichwa kikiwa kinauma,just say, I am sorry my darling, it is my fault. Nitapona mara moja.
Nikiwa na stress, just say I am very sorry it's my fault.
Nikiunguza chakula, au chumvi ikizidi, wewe niombe msamaha.
Ndoa itakuwa tamu Sana.
Ntakupenda milele
Nimekumbuka Comedy moja.
Anasema mtu anyeomba samahani kwa jambo ambalo hana uhakika nalo kama amekosa au la- Huyo huitwa mwenye Busara.
Anayeomba radhi kwa jambo ambalo amekosea huyo humuita- muwajibikaji
Na mtu anyeomba radhi kwa jambalo anahakika yuko sawa - Huyo huitwa Mume
 
Kichwa kikiwa kinauma,just say, I am sorry my darling, it is my fault. Nitapona mara moja.
Nikiwa na stress, just say I am very sorry it's my fault.
Nikiunguza chakula, au chumvi ikizidi, wewe niombe msamaha.
Ndoa itakuwa tamu Sana.
Ntakupenda milele
Ni dhambi kusema kitu ambacho hujafanya, maisha ya waarabu tuyaache huko kwao mashariki.
 
Kwa unavyotaka iwe nafikiri stress zitakuua tu
Kichwa kikiwa kinauma,just say, I am sorry my darling, it is my fault. Nitapona mara moja.
Nikiwa na stress, just say I am very sorry it's my fault.
Nikiunguza chakula, au chumvi ikizidi, wewe niombe msamaha.
Ndoa itakuwa tamu Sana.
Ntakupenda milele
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom