clefting
JF-Expert Member
- Mar 8, 2019
- 222
- 393
Wakuu i hope mko poa,
Nilikuwa napiga story za hapa na pale na baby akaniambia kuna mshikaji mwanachuo anamtongoza na kumtumia pesa. Kilichoniuma ni kwamba anadai mshikaji ni mzuri kuliko mimi.
Wakuu hapa nina changu au nijikatae mapema maana kama mimi simvutii na sitoagi pesa zaidi ya kulipia msosi na lodge.